Dovex Technologies
Member
- Oct 14, 2022
- 48
- 24
- Thread starter
- #41
Reliable Web hosting services
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa hata mifano, gharama nafuu ni kuanzia kiasi gani hadi gani? Unaweza sema laki tano ikawa nafuu kwa modewji lakini kwa muuza viatu sinza ikawa gharama. So nafuu kuanzia kiasi gani bro?Gharama ni nafuu sana kulingana na hosting plan.Karibu sana boss
Hata aelewi tunachomuuliza poor customer service ambayo tumezoea kwa wajasiriahela wa Tanzania. Mteja anaulizia A yeye anajibu G, very poor understanding ya customer needs.Unaambiwa weka bei halisi , na aina ya hizo website ,,watu wachague unang'angania kuweka namba za simu !
Website haziwahi kuwa bei constant nazani developer wanashindwa kujitangaza vizuri hapaHata aelewi tunachomuuliza poor customer service ambayo tumezoea kwa wajasiriahela wa Tanzania. Mteja anaulizia A yeye anajibu G, very poor understanding ya customer needs.
Biashara nyingi hazinaga website Tanzania sababu ya usiri wa taarifa kati ya hawa watoa huduma na wateja wao. Mtu anakutangazia huduma unauliza bei gani anakwambia piga hiyo namba hapo, sasa namba ndio jibu la bei?
Mtu anashindwa hata kuprice packages zake, unataka nambia kila mteja akija atakuja na mahitaji tofauti hawatashabihiana au kufanana kidogo japo bei zikaribiane hapo si anakuwa ameshajua bei ya wastani ya kutajia wateja wapya?
Angesema tu hata bwana hapa ndugu zangu tuna website za bei tofauti tofauti kuanzia za laki 1,laki tatu, laki nne laki tano, laki sita hadi milioni.
Anaficha sijui anaficha nn mzee.
Karibu sana mkuuNakuja!