Hata aelewi tunachomuuliza poor customer service ambayo tumezoea kwa wajasiriahela wa Tanzania. Mteja anaulizia A yeye anajibu G, very poor understanding ya customer needs.
Biashara nyingi hazinaga website Tanzania sababu ya usiri wa taarifa kati ya hawa watoa huduma na wateja wao. Mtu anakutangazia huduma unauliza bei gani anakwambia piga hiyo namba hapo, sasa namba ndio jibu la bei?
Mtu anashindwa hata kuprice packages zake, unataka nambia kila mteja akija atakuja na mahitaji tofauti hawatashabihiana au kufanana kidogo japo bei zikaribiane hapo si anakuwa ameshajua bei ya wastani ya kutajia wateja wapya?
Angesema tu hata bwana hapa ndugu zangu tuna website za bei tofauti tofauti kuanzia za laki 1,laki tatu, laki nne laki tano, laki sita hadi milioni.
Anaficha sijui anaficha nn mzee.