Superfly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 985
- 2,066
Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea.
Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi haiwezi tokea siku hii mitandao au hizi taasisi zikashikilia pesa zetu kweli??"
Labda in time of crisis or whatever... AF pia nmeshawahi kusikia kuna watu wamefilisiwa hadi pesa zao zilizopo bank kutokana na sababu mbalimbali.
Swali ni je? Ni sahihi kuziamini taasisi kama hizi? Kama si sahihi, njia ipi inaweza kuwa perfect Plan B?
NAWASILISHA.