Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

Sio mchepuko TU, hata mke wa ndani
Lazima ujifunze kuyajua madhaifu yake,

Kuna wanawake ni walaini Sana,wakawaida na wengine Ni wagumu sana kuliwa kutegemea malezi,mwonekano wao, tabia na jins gani wanavojiweka.

Waliosema mwanamke hachungwi wako sahii, ila Kama kweli mwanamke unampenda na unamhitaji lazima umtengemezee mazingira ya kumdhibiti kulinda maslahi yako hasa ukishayajua madhaifu yake Ni yapi.
 
unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni wivu au ndiyo kupenda sana?

Upande wa Mchepuko,
Unaweza usiwe wivu Wala kumpenda sana Bali kinachoangaliwa Ni kulinda zaidi maslahi yako (mbususu+heshima kwako).
 
Back
Top Bottom