Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua.
Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile feeing ya kuhisi kutishika kusikia ajali na vifo, mmoja ya habari ni kulikua na mwanafunzi mmoja alikua popular hapo Osyeterbay Primary school ambaye alifariki, mmoja wa ndugu zake tulikuwa wote hapo shuleni nusery school na alituelezea alivyo ona mwili wakati wa kuagwa na msiba kwa ujumla, kitendo ambacho kilinipa kama a nightmare fulani.
Je kuna anaye kumbuka hilo tukio na ajali ili ua watu wangapi? , kuna kumbukumbu kwamba kuna walio poteza hadi viungo vyao vya miili akiwemo babu mmoja ambaye alikua ana uza madafu , mwenye habari kamile atiririke.