Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Sipo sokoni mie 🤣🤣Mbona unajitoa Mkuu! Sema sisi madada mapozi mengi bado tupo sokoni
Sina mapozi mie kama wadada wa mjini .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo sokoni mie 🤣🤣Mbona unajitoa Mkuu! Sema sisi madada mapozi mengi bado tupo sokoni
Masanja mkandamizaji alioa bikra!! Kina katibu Bado waka pita nae.Hii kauli hii ndo inayonifanya niogope na kuwaza kwann sikuowa bikra?
Ukioa mwanamke bikra, omba Mungu sana asije akaonjwa nje.. Siku akiguswa na mwanaume mwingine ndio imetoka hiyo hua wanachanganyikiwa kabisa. Bora uoe ambae ameshazoea anajua kuji control.Hii kauli hii ndo inayonifanya niogope na kuwaza kwann sikuowa bikra?
Hii kweli kabisaUkioa mwanamke bikra, omba Mungu sana asije akaonjwa nje.. Siku akiguswa na mwanaume mwingine ndio imetoka hiyo hua wanachanganyikiwa kabisa. Bora uoe ambae ameshazoea anajua kuji control.
Hapo mwisho ndio umemaliza kila kitu. Ukitaka kuthibitisha hilo pata mechi ya ghafla halafu fananisha na perfomance yako kwenye mechi unayoiwazia siku kadhaa kabla utaona ya ghafla umeperform vilivyo kuliko ya kuiwaza.nyangumi jr, Pole baharia,
Mi ilishawahi kunitokea, enzi hizo niko chuo mwaka wa pili, nilkuwa nawasiliana na deti flan kipindi hicho alikuwa ndo anaingia cha6 simjui wala nini,( nilipewa namba tu na rafiki yake).
Bas mawasiliano yakazid kupamba moto, yule dem alikuwa na saut tamu balaa na mara nyingi demu mwenye sauti nzuri hata sura huwa ni wazuri pia,
Siku zikaenda, miezi ikakatika mara gradu ukafika wakafanya fresh tu na pepa pia wakapiga, walipomaliza harakat ndo zikaanza sasa, tukaelewana ile anatoka shule kwenda kwao bas apite tuonane the asepe.
Kweli safari ikawadia nikamtumia nauli na kweli demu akapanda mchuma kuja, aisee siku hiyo sikwenda hata kwenye kipindi, mida ya jion by saa kumi na mbili hivi bas likafika stendi hapo m nipo maana nikienda kumpokea.
Aiseee asikwambie mtu yan nilitegeshea abiria wote wakashuka, nikapiga ili nione anapokea yupi, demu akapokea buana nikamuona kabla hajaniona ilikuwa pisi moja matata, mtoto white mzuri kila kona yani.
Bas nikajitokeza akaniona tukapanda usafir had geto. Sijui kilinitokea nn aisee yan hamu ilikata gafla tu sikuwa hata na mzuka wa kumgegeda, tukala fresh tu na tukalala yani usiku huo nilipiga shoo MBOVU sijawahi kuona demu alichukia mno nikaanza kujitetea demu hata haelewi yan alilalamika had akaanza kulia.
Nilijitahdi mno wapi, aisee kesho yake asbuh sana nikampa nauli tu aendelee na safari yake na mawasiliano yakakatika toka siku hiyo.
Siku hizi huwa namuona tu mitandaoni yan alishakuwa mzuri mno hasa alipoenda chuo.
Kikubwa nikaja kugundua n hivi papuchi huwa haikamiwi, ukiikamia lazima tu ucheze shoo mbovu.