Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

Ukioa mwanamke bikra, omba Mungu sana asije akaonjwa nje.. Siku akiguswa na mwanaume mwingine ndio imetoka hiyo hua wanachanganyikiwa kabisa. Bora uoe ambae ameshazoea anajua kuji control.
Hii kweli kabisa
 
Jamaa alikuwa mzito kama farasi! Yaani aliniegemea mzima mzima nikabaki nahangaika kifua kizito. It was bad for both anyway na haikurudiwa.
 
Hapo mwisho ndio umemaliza kila kitu. Ukitaka kuthibitisha hilo pata mechi ya ghafla halafu fananisha na perfomance yako kwenye mechi unayoiwazia siku kadhaa kabla utaona ya ghafla umeperform vilivyo kuliko ya kuiwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…