Je unaishi kwenye ndoa au uhusiano wenye kukutesa? Sababu ni hii hapa..........!

Je unaishi kwenye ndoa au uhusiano wenye kukutesa? Sababu ni hii hapa..........!

Haya ndo mambo Kiranga ameyakemea,shauri yenu!

Namuandikia proposal Max tuanzishe dating site ya wabongo, unaweka picha na profile kabisa, watu wajimwaye.

Waliooa/kuolewa hawaruhusiwi lakini, mpaka mkataba kwamba wote wanatafuta mitala.
 
Mtambuzi , nimefata ushauri wako wa kusome kile kitabu cha The Secret, I am almost half way thru. Madhumui yako sana yanalengana na yaliyomoyo kwenye kitabu hichi, lakini overall conclusion ya hii law of attraction ni positive thinking, am I right?

Mr Rocky, sidhani hiyo movie ina ukaribu zaidi na mada inayozungumziwa. Sijaona movie lakini nimekisoma kitabu chake, kwa ufahamu wangu its more to the female side on whats going on male mindset.

Mbarikiwe
 
Nimeipenda hii - "Ukitaka kuacha kuvuta mambo usiyoyahitaji unapaswa kuwaza kile unachotaka kuvuta". na "Anza kufikiri kuhusu yale au kile unachokitaka tu".
Ngoja nianze kufikiri kuhusu ninachokitaka, mpaka nikipate. Nikishakipata ntarudi kwako Mtambuzi kutoa ushuhuda. Ila asante kwa somo zuri.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa haaa Mtambuzi. Hii inaitwa saikolojia ya "positive thinking" wengine wanasema the power of positive thinking! Mhhhh does it work?? Wataam wengi wamesha-prove kuwa hata ufikirie umilionea maisha yako yote; kama huna traits za kuwa milionea haiwezekani. Kifupi, the power of positive thinking does not work!!!

Negative thinking ni mbaya kwa sababu tu inaleta "stress" na stress katika maisha ni mbaya. Full stop.
 
Back
Top Bottom