JE, UNAJIAMINI

JE, UNAJIAMINI

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,227
Reaction score
6,670
Ni wakati gani unakasirilika au uliwahi kukasirika sana na pengine ukatenda lisilotegemewa!

Jibu ni rahisi sana. Fanya kuweka kumbukumbu ya mara ngapi unatumia maneno "kama" na "lakini" ambayo ni kipimo cha kiasi cha jinsi UNAVYOJIAMINI
 
Back
Top Bottom