Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo?

Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo?

Inategemea mfano mimi nina rafiki yangu mjeda ana spacial alinunua m7 ana vimba kitaa hai kama zote lakini mimi nimepanda miti pine aple hekali 4 na michenza eka hekali 3 sahiv miti ina miaka mitano na michenza ina miaka mitano nimeanza kuvuna machenza hekali hizo tatu kila mti nimepewa 20000@200=4000000 kwa ekali mwakani mavuno yatakuwa mengi kupewa 30000 kwa miti 200 ni kawaida so naona kama ipo ipo tu ni kuset mipango
 
Mtoa post utakuwa unateseka sana.
Cha msingi inabidi utambue binadamu tupo tofauti hata identical twins wanatofauti zao.
Cha msingi fanya mambo yako kwa bidii zako zote acha kujilinganisha na watu utateseka sana manake utakuwa sio wa rika zako tu wamekuzidi utakutana hata na wadogo kwako ila wamekuzidi sana kimaisha.
Kwenye maisha pamoja na kupambana sana pia kuna bahati
 
Back
Top Bottom