Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo?

Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo?

Inategemea mfano mimi nina rafiki yangu mjeda ana spacial alinunua m7 ana vimba kitaa hai kama zote lakini mimi nimepanda miti pine aple hekali 4 na michenza eka hekali 3 sahiv miti ina miaka mitano na michenza ina miaka mitano nimeanza kuvuna machenza hekali hizo tatu kila mti nimepewa 20000@200=4000000 kwa ekali mwakani mavuno yatakuwa mengi kupewa 30000 kwa miti 200 ni kawaida so naona kama ipo ipo tu ni kuset mipango
Unategemea mwakani!!! Unachekesha!! Hela ambayo hujaishika usiipigie mahesabu
 
kwa upande wangu hii ni insparition napenda kuona mtu wa karibu amefanikiwa sijuhi kwa sababu mimi ni watu wa I have nothing to loose
 
Don't waste ur precious time and energy competing with others,
Be happy and accept yourself,Only compete with yourself to become better.
Mkuu umesahau kumaliza na ile kauli yako ya "live the life you love, love the life you live" tena kwenye huu uzi Ndio ingekuwa accurate na relevant zaidi, comparison is the thief of happiness 🙂🙂
 
Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha.

Ndo maana wengine wanafanya ulogi ili wapate MALI kwa kigezo chako hicho cha kuangalia “ Flan kanipita na flan pia kanipita haiwezekani wanipite wakat wale wote ni watoto wadogo”

Dada… Kwa kweli ukikubali mawazo kama hayo ya kuendeshe ipo siku utajikuta sehemu mbaya sana.

Mimi maswali kama hayo huwa naulizwa na wakati mwingine huwa na yawaza kabisa ila siyapi asilimia nyingi (20%), nayapa asilimia chache ili yasiniendeshe.

Hayo mawazo ukiyapa asilimia nyingi utajikuta upo pabaya saana.
 
Mkuu umesahau kumaliza na ile kauli yako ya "live the life you love, love the life you live" tena kwenye huu uzi Ndio ingekuwa accurate na relevant zaidi, comparison is the thief of happiness 🙂🙂
Very true mkuu,
Live the life u love,love the life you live,

You are unique,you have different talents and abilities You don’t have to always follow in the footsteps of others,and most importantly, you should always remind yourself that you don't have to do what everyone else is doing and have a responsibility to develop the talents you have been given.
 
Unategemea mwakani!!! Unachekesha!! Hela ambayo hujaishika usiipigie mahesabu
Pesa unatakiwa uipigie mahesabu kabla hujaikamata ili ukiikamata tu moja kwa moja inaenda kwenye malengo yako. Ukishika pesa ndio uanze kuipigia mahesabu utajikuta hujafanya la maana sana. Kwanza kuna kile kitu kinaitwa wenge la pesa. Kama ulikuwa unakula kwa mama ntilie utaanza kuwaona wachafu, paso unaloendesha utaliona kama guta nk.
 
Mimi huwa sijali, naona Mungu hata hapa nilipofika ni uwezo wake, unajua Mungu ana akili sana, Siku Moja Co-worker wetu alikuwa anamasikitiko sana kuhusu maisha, analia hali ngumu fedha ambayo analipwa haitoshi.

Nilimwambia kila kitu na wakati wake, nilimwambia Mungu anakipenda sana, amekukadiria kipato kutokana na uwezo wako, akasema kwanini?
Nikamwambia huu take home ya 500k tu huwa ikipokea kwa mwezi lazima tuhesabu siku 2 au 3 za kitokuj kutokuja kazini, na hata siku ukija kila mtu anajua haujatokea home.. jamaa alikuwa mpiga pombe haswa so ikifika tarehe 10 hana hata mia, imagine mtu kama huyo umlipe 1.5m si hatakuja kazini wiki
 
Back
Top Bottom