Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga

Funguka kidogo mkuu.
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga
Napata wasiwasi sana na elimu yako. hasa ktk masuala haya ya system huna ulijualo.. ngoja nikusaidie kitu ili uache kumbwela . nenda katika account yako ya tcu then login. kisha nenda view my selection . kisha course inayoonesha rangi ya black badala ya blue ndio ulochaguliwa. ova
kesho yenyewe itakuwa saa ngapi?
post zipi hawa madogo mbn wanadhani kila mtu wa shule