Je Unajua Aliyevujisha Post?

Je Unajua Aliyevujisha Post?

Status
Not open for further replies.

Harooney

Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
37
Reaction score
2
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga
 
Hahahaha hamna haja ya kujua ni nani??

Kesho things will be out
 
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga

Napata wasiwasi sana na elimu yako. hasa ktk masuala haya ya system huna ulijualo.. ngoja nikusaidie kitu ili uache kumbwela . nenda katika account yako ya tcu then login. kisha nenda view my selection . kisha course inayoonesha rangi ya black badala ya blue ndio ulochaguliwa. ova
 
we nawe ushauri gani unampa jamaa,, mi nimechagua cozi tano, zote nimequalify it means zote zinablue,,,labda io njia yako inafanya kazi kwa wale waround ya pili wao ndo wanacoz moja tu tokeo ni kesho hamna njia nyingine tena.
 
Kwahiyo kumbe Jamiiforums...siku hizi wanafanya selection.Hilo jukwaa la selection sasa sijui tuliiteje?
 
Huyo Anaesema Ukaangalie Kwenye My Profile Then Selection Status, Iyo Ni Uongo Kama Ndo Ivo 2cngelikuwa Na Haja Ya Kusubr Kesho
 
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga

Umesikia wapi mkuu.......ndugu yako au ww unafanya kazi ofisi gani pale TCU??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom