Handsome Boy 2014
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 605
- 151
jaman tareh 22 c ndyo hii wadau
jaman tareh 22 c ndyo hii wadau
post ni tarehe 24 taarifa zipo hewani
Msaada wakuu kwa dogo ametemwa TCU kwenye vitivo vote afya;na six alipata BIO=B; CHE=C na PHY=D.
Lengo kuu digrii afya !
Jamani iko hivi ni kweli jumamosi usiku ya wiki iliyopita TCU waliweka system yakuangalizia Post lakini ilipofika jumapili alfajiri wakaifunga hii sio kwamba walivujisha Post bali walikuwa wanahakiki kama System iko sawa na ndo Maana ilifungwa sasahivi itafunguliwa baada ya kuwa wamekwisha maliza kuwapangia na Wale wa Second round, ingawa kwa Wale waliobahatika kuona Post sao siku ile ya jumamosi hazitabadilika ni vilevile kama walivyoona. Ni hivyo tu, niwakaribishe Vyuoni wadogo zangu wote mliochaguliwa na hongereni sanaNimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga