Je Unajua Aliyevujisha Post?

Je Unajua Aliyevujisha Post?

Status
Not open for further replies.
dah tarehe 22 imefika ila naona bado kimya............heeeey TiiSiiYuu vip??
 
Msaada wakuu kwa dogo ametemwa TCU kwenye vitivo vote afya;na six alipata BIO=B; CHE=C na PHY=D.
Lengo kuu digrii afya !
 
Aisee mi nashindwa kuelewa kwani tarehe 22 imeanza saa ngapi mbona si NACTE WALA TCU, hawajaweka kitu au itaanza kukikucha?
 
Na ni baada ya joint admission meeting ndio yatakuwa released. Kwahiyo tutegemee kuazia saa saba mchana au jioni kabisa.
 
wamehairisha taarifa iliopo ivi punde bado hawajamaliza kuzotuma kwenye vyuo vngine ad tar 24
 
Kuna mambo ukiyafahamu hata kidogo tu hutayumbishwa hata siku moja.
Jamiiforums ni system inayotegemea members ambao wapo kila sehemu(including wewe na tcu) na servers zenye post zipo tcu na sio jamiiforums (ndo maana uki click link unaambiwa server not found ikimaanisha wametoa page kwenye server yao). Ukitaka kujua alievujisha angalia mwenye post na kama si yeye anajua alikotoa na mwisho kabisa ni wenye server yao ambao ni tcu na sio jamiiforums..
 
Watu makini wanafanya vitu makini. Hawakurupuki kama mleta uzi.
 
Nimesikia Tetesi Et Kwamba Jamiiforum Ndo Wamevujisha Post Hzo Kwenye Ile Link,then Baada Ya Tcu Kutambua Ndo Wakaifunga
Jamani iko hivi ni kweli jumamosi usiku ya wiki iliyopita TCU waliweka system yakuangalizia Post lakini ilipofika jumapili alfajiri wakaifunga hii sio kwamba walivujisha Post bali walikuwa wanahakiki kama System iko sawa na ndo Maana ilifungwa sasahivi itafunguliwa baada ya kuwa wamekwisha maliza kuwapangia na Wale wa Second round, ingawa kwa Wale waliobahatika kuona Post sao siku ile ya jumamosi hazitabadilika ni vilevile kama walivyoona. Ni hivyo tu, niwakaribishe Vyuoni wadogo zangu wote mliochaguliwa na hongereni sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom