Je, unajua? Biblia ndiyo Kitabu kilichoandikwa kabla ya Vitabu vyote vya Kidini

Umeharibu mwishoni
 
Mkuu nimeharibu vip? Qur’an imeshusha mahususi husaisha upotoshaji iliomo kwenye Biblia baada ya bonaadamu kuchezea maneno ya mungu.
Mada onazungumzia kuhusu Biblia:
Baki ndani ya Mada:

Ungejua tunavyo ichukulia hiyo Qurani usingeiongelea hapa:
Bora hata mashairi ya Shakespere yana mantiki ndani yake:
 
Binafsi nachojua ni kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu... Hii kunasema biblia ni kitabu😖
Biblia ni Kitabu kwa sababu, ingawa ina vitabu vingi ndani yake, ujumbe wake ni mmoja na unaoendelea kwa mshikamano kutoka Mwanzo hadi Ufunuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…