Je unajua kua listerine inatumika katika matumizi mengi?soma hapa

Arabian queen

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Posts
2,557
Reaction score
4,824
Hii nmeifanyia utafiti mm mwenyew,miongoni mwa dawa zinazotumika kusukutua mdomo baada ya kupiga mswaki ikiwemo listerine,oral b na zinginezo,inajulikana kua faida yake ni kulinda fizi na kua imara ,kuondoa vijidudu na kuweka refreshment ktk mdomo.
...faida zimgine ni izi apaa..
----inasaidia kukausha vidonda,
Iwapo mtu anakidonda na akatumia io listerine basi ndani ya siku nne tu kidonda kinakauka,unachukua pamba unachovya ktk io listerinr then unapangusia iko kidonda,fanya ivo kila siku ,kutwa mara mbili.
---inatumika katika kutakatisha mwili,
baadh ya watu wana zile sungosungo baina ya mabaja kwa juu hua kuna weus flani, kiukweli results zake ni amaizing na maajabu,maana ndani ya wiki moja tu utajiona msafiiii huna weusi hata chembe.chukua pamba chovya na uwe unajisugulia iyo sehem ya weus baina ya mapaja kwa juu (pembezon),sugua ktk io sungosungo nyeusi kwa dakika zisizopungua kumi ,asubuh na jion kabla hujalala fanya ivo kwa mda wa wiki tu alaf ulete majibu hapa.
---inatumika kutakatisha kwapa,
Unachovya ktk pamba then unajisafishia ktk kwapa unasugua sugua kwa dakika zisizopungua tano.majibu na mabadiliko utayaona ndan ya wiki tu.inasafisha kwapa inatakatisha pia inaleta refreshment unakua huna haja ya kupaka body spray.
Ni hayo tu.
Shukran
 
Ahsante sana kwa kutupa hii faida.

Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.

Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
 
Nnautumia ndiyo amana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa :kidney spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Nnipe namba yake,soon nkirud tz insha Allah ntamtafuta,anapatikana wap?
 
Kumbe upo mpaka kwenye mambo ya urembo
 
Nnipe namba yake,soon nkirud tz insha Allah ntamtafuta,anapatikana wap?

0769302206 au Whatsapp 0625249605

Wasiliana nae maana kuna wakati alitangaza humu JF kuwa sasa udongo wake unapatikana Saudi Arabia, Oman, Kenya.
 
Ahsante sana kwa kutupa hii faida.

Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.

Nnautumia ndiyo amana nnaujuwa. Mpaka zile zinait: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
ehee huu udongo kesho naufata naona sio mchezo
 
Ahsante sana kwa kutupa hii faida.

Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.

Nnautumia ndiyo amana nnaujuwa. Mpaka zile zinait: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Mapaja au mabaja?
Refer kwa mtoa mada
 
Ahsante sana kwa kutupa hii faida.

Hiyo ya kutakatisha mapaja, kwapa na hata kutowa harufu ya kikwapa, udongo wa Aunt Zainab ni namba moja. Huna haja ya kujisuguwa dakika tano wala kumi, unaupaka tu unaacha ukauke unauosha. Utaona aajabu.

Nnautumia ndiyo maana nnaujuwa. Mpaka zile zinaitwa: "liver spots" za usoni chini ya macho, nilikuwa nazo zimetoka mpaka nikashangaa na rangi haichubuki unabaki natural, Ajabu.
Woow nipo arusha ntaweza kuupata
 
Back
Top Bottom