Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

Hizi sheria zingine naona zinaingilia falagha na tamaduni za watu katika jamii!

"Kutikisiwa makalio" mbona ni kivutio kisichombugudhi mtu, bali anayetikisa ndiye mwenye kazi?

Maana maumbile teke teke ya mwanamke saazingine humfanya ayatikise ili kubalansi mwendo inakuwa si makusudi ya kunyanyasa watu!

Sidhani kwa kosa hilo,tangu sheria itungwe kama kuna mtu alishapatikana na hatia na kuadhibiwa, maana kuthibitisha kosa la namna hiyo kuna ugumu wake sana.

Halafu hilo la "vitisho" mbona ni mbinu tu ya utongozaji isiyokuwa na madhara?

Kwa mfano, ofisi niliyokuwa nikifanyia kazi aliingia staff mpya kwa uhamisho nikamwelewa, ni kisu hasa nikamtokea kwa kumuwahi kabla ya "wajinga wajinga" wengine hawajaanza kumsorolea.

Si akanitolea nje kwa nyodo!

Mimi katika utongozaji mwanamke akininyanyasa kwa kauli huwa kama nyati aliyejeruhiwa, bora anikatae kistaarabu nitamwelewa na kuachana naye, sasa yeye akanitusi kabisa!

Alivyonitusi pale pale nikavimba na kuanzisha ligi ya kutafuta ushindi.

Nikamwambia "tutaona"..."na kuanzia leo sitaki mazoea na wewe na tukikutana njiani tusisalimiane"!

Kisha nikamtumia jamaa yangu kwenda kumvuruga kisaikolojia kama mbinu ya kumnasa.

Akaenda kumwambia: ..."hivi yule jamaa ulyekuwa ukimtukana wewe unamfahamu vizuri?"

..."sisi hapa ofisini kila mtu anamuogopa kwa ushirikina, huwa hachezewi"..."Kasikitika sana na kila staff ishu hii kaisikia"..."yaani watu wanakuhurumia, anaweza akamaliza ukoo wenu"..."wewe hauna wazazi wanaokutegemea"..."kamuombe msamaha yaishe yeye ni muelewa, vinginevyo yatakayokupata usije kusema hatujakueleza!"

Nikaona kabadilika na kuanza kujichekesha chekesha kwangu ili kujenga mazoea!

Nikajipandisha chati kwa kununa.

Akaona sasa hapa kaisha, akamfuata jamaa yangu kumuomba aje kumuombea msamaha.

Nikasema "sitaki" aje mwenyewe tuonane nisikie kama maneno hayo yanatoka moyoni mwake!

Alivyokuja "kisu kikapita na kupita" kama masharti ya ku withdraw uchawi wangu😆😆😆.
Akapenda nami nikapenda, mpaka leo ndiye mke wangu.

Ndiyo maana nikasema mbona sheria hiyo takribani yote, haiendani na tamaduni zetu?

Hata wewe mwanasheria, ulishawahi kusikia mtu kashitakiwa kwa kukonyeza au kulambiwa ulimi nje?
 
Sheria za kibongobongo ngumu zingine kuzifuata unaweza onekana una tatizo la afya ya Akili,kwa huyu mwanasheria wetu Sajo kweli kule Tukuyu au Kyela wakusikie wanyaki eti upo mahakamani kwa kesi ya kukonyezwa au kutikisiwa!Duuh ugonjwa huo.
 
Sheria za kibongobongo ngumu zingine kuzifuata unaweza onekana una tatizo la afya ya Akili,kwa huyu mwanasheria wetu Sajo kweli kule Tukuyu au Kyela wakusikie wanyaki eti upo mahakamani kwa kesi ya kukonyezwa au kutikisiwa!Duuh ugonjwa huo.
Mkuu, ni kama tu watakavyoshangaa wakikusikia umefika mahakamani kisa mtu kakuvutisha moshi wa sigara bila hiyari yako. Wanaona ni kitu kidogo na hakina madhara yoyote.
 
Mkuu, ni kama tu watakavyoshangaa wakikusikia umefika mahakamani kisa mtu kakuvutisha moshi wa sigara bila hiyari yako. Wanaona ni kitu kidogo na hakina madhara yoyote.
Duuh mambo haya port ni Magumu!
 
Nyakati zimebadilika sana,
Muda wa kuangalia makalio uko wapi? (sasa hata ukiona hayatishi)
Mtu hata akivaa nguo fupi kuliko chupi, (wala hayatetemeshi tena?

Makalio, shape, sura sio kitu zama hizi,
pitia mitaa ya tiktok, facebook,nk nkyapo ya kutosha ni bando lako tu.
 
Back
Top Bottom