Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
M Mungu katupendelea sana kutuepusha Afrika na hawa ma-Apartheid. Hakika tusingepumua hata kidogo. Afrika nzima tungekuwa watumwa, si nchi husika tu bali Afrka nzima.
Kwa hili sinabudi kumshukuru sana M Mungu.
Kwa hili sinabudi kumshukuru sana M Mungu.