Z Zawadi Ngoda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 4,175 Reaction score 2,294 Nov 24, 2023 #221 M Mungu katupendelea sana kutuepusha Afrika na hawa ma-Apartheid. Hakika tusingepumua hata kidogo. Afrika nzima tungekuwa watumwa, si nchi husika tu bali Afrka nzima. Kwa hili sinabudi kumshukuru sana M Mungu.
M Mungu katupendelea sana kutuepusha Afrika na hawa ma-Apartheid. Hakika tusingepumua hata kidogo. Afrika nzima tungekuwa watumwa, si nchi husika tu bali Afrka nzima. Kwa hili sinabudi kumshukuru sana M Mungu.
Jackwillpower JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 2,467 Reaction score 3,687 Dec 31, 2023 #222 Wayahudi wa Leo sio halisi ni kutoka khazarian na ndio Ashkenazi