Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
2,537
Reaction score
2,538
Ndugu Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii kumekithiri Malalamiko ya Vijana Mabarobaro (bachelors) kwamba wanachunwa na Vidada vya Mjini sasa Kero hii imepata ufupumbuzi.

Nini cha Kufanya? Chamsingi kwa kijana anayejitambua anabidi atafute Mmoja wa Ukweli kisha amuowe kwamfano angalia unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi mmoja unalipa Tshs. 6000/=
Kwa wiki moja unalipa Tshs.1500/=
Na kwa siku Tshs 215/=

Kwann ukanunue mwanamke kwa zaidi ya Tshs 30,000/= na gharama ya chipsi kuku na Pepsi afu akupe mapenzi kwa raundi mbili tu, wakati ungekua umeoa ungekuwa unalipa TSHS 215/= na unapiga mzigo raundi kibao mpk utosheke mwenyewe.

Nenda kaoe wewe upige mzigo kwa bei nafuu acha uboya wa kulipa pesa nyingi kwa penzi la siku moja.

Nawasilisha!!!
 
Akili za kuambiwa .... .
 
Unataka kuniambia walio oa na hawa wanaokamata vijidada mtaani nan anaingia gharama?
Anaeingia gharama yule alieoa kuna vitu vyingi unatakiwa umuudumie mwanamke. Lakini hawa wanaokamata vimada wanaelewana wanamalizana cku iyo iyo.
 
Hizi ID zetu tunazijua wenyewe.

Naona mleta mada anawachukulia wanawake kama sex slaves.

Mkuu ndoa ni zaidi ya mahari........kwenye mahusiano ya ME na KE, ndoa ndio uhusiano kwenye gharama kubwa na majukumu mazito zaidi. Halafu usisahahu sheria za ndoa.
 
Ndugu Wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza Leo hii kumekithiri Malalamiko ya Vijana Mabarobaro (bachelors) kwamba wanachunwa na Vidada vya Mjini sasa Kero hii imepata ufupumbuzi.

Nini cha Kufanya? Chamsingi kwa kijana anayejitambua anabidi atafute Mmoja wa Ukweli kisha amuowe kwamfano angalia unaoa unalipa mahari milion 1.5, afu unakaa nae zaidi ya miaka 20. Sawa na zaidi ya miez 250.
Ina maana kwa mwezi mmoja unalipa Tshs. 6000/=
Kwa wiki moja unalipa Tshs.1500/=
Na kwa siku Tshs 215/=

Kwann ukanunue mwanamke kwa zaidi ya Tshs 30,000/= na gharama ya chipsi kuku na Pepsi afu akupe mapenzi kwa raundi mbili tu, wakati ungekua umeoa ungekuwa unalipa TSHS 215/= na unapiga mzigo raundi kibao mpk utosheke mwenyewe.

Nenda kaoe wewe upige mzigo kwa bei nafuu acha uboya wa kulipa pesa nyingi kwa penzi la siku moja.

Nawasilisha!!!
Oa ujue ukweli kwa taarifa tu wanaoongozwa kunyimwa unyumba ni wanaume walio ndani ya ndoa na pia wanaume waliooa akiwa na 10000 basi atatumia 1000 iliyobaki wife!
Kuoa kusikie hivyo hivyo kama akili yako ime base kwenye pesa na kugegeda tu!
Kuoa zaidi ya hayo ukiwa sio makini mkeo atajenga nyumba kwao wakati hana kazi na wewe umepanga!
 
Unaoa leo, kesho huyo mwanamke anakufa utaendelea kuoa ili upate tendo la ndoa kirahisi
 
Back
Top Bottom