Je unajua kwamba kuoa ndiyo njia rahisi zaidi ya kupata tendo la ndoa tena kwa bei nafuu

Hakuna kitu kama hicho mkuu kwaiyo iyo itukuwa ndoa au Ndoana

Huwezi nielewa kwa sasa! Ila nachokwambia ni kwamba, usio kwa ajili ya mzigo wa bure! Hakuna hicho kitu kwenye ndoa. Ndoa ina mambo mengi sana!
 
Huwezi nielewa kwa sasa! Ila nachokwambia ni kwamba, usio kwa ajili ya mzigo wa bure! Hakuna hicho kitu kwenye ndoa. Ndoa ina mambo mengi sana!
Naam hapo umenena huwezi ukaoa eti kwasababu ya kukidhi haja ya kimwili tu hapana hii ni sehemu tu ktk Ndoa [emoji106]
 
Oeni jamani...Sasa mkikimbia gharama tutaolewa na Nani?
Tutaendelea na mgomo baridi wa kutooa hadi wazazi waache kutumia mabinti zao kama vitega uchumi( kutoza mahari kubwa), cha msingi Huduma zote za muhimu tunazipata kama waliooa kwa nn tuumize vichwa na magharama ya mahari+ harusi. Unasubiri umri ukienda tu wadada wanajirahisiha wenyewe maana wengine wanaishia kuwa single mother kwa maringo na kupenda hela zaidi
 
na uchi mmoja kila siku nachoka ati,,,leo mwajuma kesho aisha keshokutwa mwanamisi,,laza tofauti kila siku kuna raha bana
 
Bora hata uwaambie,tumekosa wakutuowa[emoji17]
Wanaume mungu anawaona
mkiacha kutuomba iphone mpya kila zinapotoka na mkaamua kua mnasuka tu au kubana nywele zenh na sie tutajifikiria kuwaoa
 
Humu jf kuna mada za kiseng* sn nlichokigundua kwny huu Uzi
1 Hupatikanaj wa papuchi ni rahisi zaid kw wasio owa
kuliko walio owa
2.Walio owa wanatu
Mia gharama kubwa zaid kuliko wasio owa
3Walio owa wana hatari ya kufa mapema kuliko wasio owa
 
Wala msiogope ndani ya ndoa ndio penye raha zote,hamna cha iphone mpya wala nini ni makubaliano yenu jins hali inavoruhusu na ngoma inachezwa wakati wowote inapohitajika no pay!
 
hauko sahihi, ungepigia hesabu za kusaidia mashemeji na wakwe ungejua kuoa ni hasara
 

Acha kuwapotosha vijana. Mbona hujaangalia gharama za mavazi yake, chakula, nauli, mizinga ya wakee na mashemeji, kumnunulia gari, simu, kuweka vocha, kumchangia kitchen party, kuweka mafuta ya gari, kumtibia n.k. Hapobado hujanuniwa, hajachepuka, hajakagua simu yako, hajakuwekea gubu, hamjalala mzungu wa nne, jajaenda periods, hajakwambia amechoka au anaumwa tumbo so auli mzigo. Bora ule milupo tu hainaga stress wala kokoro unatoa hela yako unakula mzigo unasepa. Changanya na zako
 
Halafu faida nyingine ukishapita hiyo miaka 20 utakuwa unafanya tendo la ndoa bure kabisa...[emoji13] [emoji13]
 
Wewe ndo unawapotosha vijana eti wawali Milupo fikiria mfno Binti kaanza kujiuza tangu mwaka 2010 mpka Leo 2017 binti huyu bila Shaka katembea na watu zaid ya 200 au Zaid alafu kijana mdogo miaka 20-25 anaenda kujiingiza kwenye Ngome ya Kahaba huyu unafikiri atatoka na nini ile elfu 30 itampelekea mtatizo yeye mwenyewe atajikuta anakuja kutumia zaidi ya mamilioni kujitibu magonjwa sugu ya zinaa aliyoyapata acha kupiteza vijana ndugu!!!
 
Wala msiogope ndani ya ndoa ndio penye raha zote,hamna cha iphone mpya wala nini ni makubaliano yenu jins hali inavoruhusu na ngoma inachezwa wakati wowote inapohitajika no pay!
Good
 
na uchi mmoja kila siku nachoka ati,,,leo mwajuma kesho aisha keshokutwa mwanamisi,,laza tofauti kila siku kuna raha bana
Oa wawili au 3 kama una jiweza chukua 4 ila sharti uwe unajiweza sasa uwo ubonge wako cjui itakuwaje?
 
Mkuu sio wote ww ukishapendana na binti hawezi akakukomoa kwa kukutajia mahari kubwa unaweza ukaoa hata kwa laki 5 au chini ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…