Je, unajua lingala?

Je, unajua lingala?

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Je, Unaelewa Lingala - Oyebi Lingala?
Sielewi Kilingala vizuri - Nayebi Lingala malamu te.
Ninaweza kuzungumza Kilingala - Nakoki koloba Lingala.
Watie moyo wote - Lendisa bandeko nyonso / nyoso.
Ulimwengu mzima - Mokili mobimba.
Tunakujua - Toyeba yo.
Ongea polepole - Loba malembe.
Ingia - Kota
Mwingine - Mosusu
Moyo safi - Motema pembe
Jamaa - Ndeko
Jamaa / ndugu - Bandeko
Hakika / haswa / nzuri / kweli! - Nde!
Sikiliza muziki - Yoka ndule / banzembo.
Hataki kusikiliza - Alingi koyoka te.
Wewe ni mpenzi wangu - Ozali bolingo na ngai.
Umenitupa / umenikataa - Oboyi nga.
Mbele, ni nani huyo? - Na liboso aza nani?
Mbele ya / kabla - Liboso
Una miaka mingapi? - Ozali na mibu boni?
Una mwanamke mwingine - Ozali nango mwasi mosusu.
Huna mwanamke mwingine? - Ozali na mwasi mosusu te?
Ngoma na mimi - Bina na ngai.
Tunaelewana vizuri - Toyokani malamu.
Umeziweka wapi? - Otiaki yango wapi?
Je! Ninapaswa kukupigia teksi? - Olingi nabengela yo taxi?
Usiongee sana. - Koloba mingi te
Asubuhi ya leo - Ntongo oyo.
(Sana) mapema asubuhi - Na ntongo penza.
Mchana / Jioni - Na mpokwa.
Siku imeanza - Tongo etani.
Wakati wa mchana - Eleko ya mokolo.
Usiku - Na butu.
Ni siku gani leo? - Lelo mokolo nini?
Jana / kesho - Lobi
Kesho baada ya kesho / Siku iliyotangulia jana - Ndele
Siku mbili zilizopita - Mikolo mibale eleki.
Kesho usiku / Jana usiku - Lobi na butu.
Ulikuwa wapi jana usiku? - Ozalaki wapi lobi na butu?
Tunakwenda wapi kesho? - Tokokende wapi lobi?
Tunakwenda pwani - Tokokende (na) libongo.
Ni Jumamosi - Ekozala na mposo.
Katika siku tano - Na nsima ya mikolo mitano.
Likizo - Eyenga
Siku mbali - Mokolo ya bopemi
Siku ya kazi - Mokolo ya mosala
Siku ya kuzaliwa - Mokolo ya kobotama
Wiki iliyopita - Poso eleki
Wiki ijayo - Poso ekoya
Mwezi mmoja - Sanza moko
Mwaka - Mbula
Siku nyingi zimepita - Mikolo eleki ebele / mingi
Wakati / saa - Ngonga
Mchana - Moyi / moi
Usiku - Butu
Mchana na usiku - Moyi na butu
Kila siku / Siku baada ya siku - Mokolo na mokolo
Siku moja kabla ya jana - Lobilobi
Ni baridi leo - Eza malili lelo.
Wakati gani? / Lini? - Ntango nini?
Pitia nyumbani kesho - Leka lobi na ndako.
Utafanya nini kesho jioni? - Lobi okosala nini na pokwa?
Mazingira mazuri - Ngwasuma
Miezi mingapi? - Basanza boni?
Je! Mwaka wako unaendaje? - Mbula oyo toza ezo leka ndenge nini?
Umepanga nini kwa mwaka ujao? - Obombeli biso nini po na mbula oyo ezoya?
Nitatumia Krismasi hapa lakini Mwaka Mpya utanipata jijini Nairobi - Nakolia bonane awa kasi, bonane ni siku ya Nairobi.
Tumeingia mwaka mpya - Tokoti sikoyo na mbula ya sika.
Karibu! - Boyei elamu!
 
Nimejikuta kinshasa migombani ghafla!!
 
Lugha nzuri sana hii, ongeza maneno/sentensi nyingine aisee!
 
'Otimbi
Na timbeli yo'
in mondi voice
 
Hiyo ni lugha inaongewa sana Senegal. Gambia na Mauritania.
Niko tayari kukoselewa
Uko sahihi ndugu ni nchi tatu hizo ndio wanaongea lugha hiyo ya wolof lakni ngumu kiasi hasa ukiingia kwenye kutaja namba.

Mfano wa namba 1999 (elf moja na mia tisa na tisini na tisa. Hiyo utaisema (junyi ak jurom nyenti teemer ak jurom nyenti fuk ak jurom nyenti).

Kuanzia mamoja haina shida iko simple.
1-benna, 2-nyar , 3-nyeti , 4-nyenti, 5 -jurom,
6-jurom benna, 7-jurom nyar, 8- jurom nyeti,
9-jurom nyenti, 10- fuk.

Hahahaaaaaa. Haya bwana kila lá heri.
 
Hili bandiko la hii lugha imenikumbusha nyimbo ya Mpongo Love''Ndaya''.
 
1. Bana baleli nzala --- Watoto wanalia kwa njaa.
2. Mokumba ya bana --- Mzigo wa watoto.
3. Motema na yo! --- Moyo wako.
4. Motongi monene ya Poto --- Fundi cherehani mkubwa barani Ulaya.
5. Nsoso mobali eleli --- Jogoo analia.
6. Biloko mabe --- Mambo mabaya.
7. Fungola ezibele / ezibeli –-Fungua mlango.
8. Kanga lininisa --- Funga dirisha.
9. Nkombo / kombo na yo nani? --- Jina lako nani?
10. Mokolo ya kobotama --- Siku ya kuzaliwa.
11. Oyoka elengi --- Unajisikia vizuri.
12. Bilobela ya bato --- Udaku wa watu.
13. Bakimi ngai --- Wamenikimbia.
14. Ndako ezali na bosoto mingi --- Nyumba ni chafu.
15. Biso nyoso --- Sisi sote.
16. Kofuta nyongo --- Kulipa tarehe.
17. Nakati ya libala --- Katika ndoa.
18. Bondumba ezali maladi te --- Uasherati sio ugonjwa.
19. Babeta ndembo --- Wanacheza mpira.
20. Masanga yosengaka nasomba --- Bia uliyoomba nimenunua.
21. Olandaka basi ya bato --- Unatongoza wanawake walioolewa.
22. Pongi ezuaki ngai --- Usingizi ulinishika / nililala.
23. Osalaka wapi? -- Unafanya kazi wapi?
24. Kobomba sekele --- Kufanya siri.
25. Alata kitoko boye --- Anavaa vizuri sana.
26. Pesa ngai --- Nipe.
27. Yaka tosolola --- Njoo tuzungumze.
28. Bazali na matanga --- Wako kwenye maombolezo.
29. Limbisa mwana na yo --- Msamehe mtoto wako.
30. Nasenga palado --- nimeomba msamaha.
31. Kaka osilika kaka opasuka --- Ukikasirika tu utapasuka tu.
32. Tovandaki ngai na yo na ndako --- Mimi na wewe tuliishi nyumbani.
33. Simba na maboko --- Shika kwa mikono miwili.
34. Kosomba mbisi --- Kununua samaki.
35. Nalali lokola mwana moke --- mimi hulala kama mtoto mdogo.
36. Okosala ngai soni mingi –-- Uliniaibisha sana.
37. Kolia ntaba --- Kula nyama ya mbuzi.
38. Olingi kolia nini? ---Unataka kula nini?
39. Bolingo ya sika --- Upendo mpya / wa kisasa.
40. Etondi makambo --- Imejaa shida.
 
Uko sahihi ndugu ni nchi tatu hizo ndio wanaongea lugha hiyo ya wolof lakni ngumu kiasi hasa ukiingia kwenye kutaja namba.

Mfano wa namba 1999 (elf moja na mia tisa na tisini na tisa. Hiyo utaisema (junyi ak jurom nyenti teemer ak jurom nyenti fuk ak jurom nyenti).

Kuanzia mamoja haina shida iko simple.
1-benna, 2-nyar , 3-nyeti , 4-nyenti, 5 -jurom,
6-jurom benna, 7-jurom nyar, 8- jurom nyeti,
9-jurom nyenti, 10- fuk.

Hahahaaaaaa. Haya bwana kila lá heri.
Hii lugha ni noma sana
 
Aisee kama kunae mtaalamu wa hii lugha ninamuomba anitafsirie kibao Cha madilu system Bruno dika
 
Nina hakika hii nikikaa congo ni week moja tu tuanakwenda sambamba lkn ako na wazaire(banacongo) wengi sana hapa Lesotho!! hii lugha ni kama kijita tu!!!

ebu nambie maana ya haya maneno

afrika mokili MObimba,

lero makambo robi makamabako tukosuka wapi yoo!

libala ooo libala ooo!! sokomomiko yako ya mwana...

Shashuuuu!! likolo yakapambatee!

mikambo ya falanga

nisi kuchoshe nina meengi sana!!! naipenda sana hii lugha
 
Moto Head
Suki. Hair
Litoi Ear
Nzolo. Nose
Monoko. Mouth
Kingo. Neck
Mapeka. Shoulders
Libumu. Stomach
Loboko. Hand
Makolo Legs
Mosapi Finger
Lolemo Tongue
Linzaka finger nail
Elongi Face
Dibolo. Sex ya mwasi[emoji3]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom