Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
hahahhahaha..................
usilolijua ni kama usiku wa ngiza.
wataalam wa composite science watatuleza tofauti.
well, hiyo sio kweli at least for me.
skiza nikwambie brodah!!!
ubaya wa waandish wa habari ni kwamba wengi wao hawataki kufanya tafiti za kueleweka kutoka tulipotoka hadi tulipo leo.
let me tell you, hivi unajua kwamba hata kama nimekubali let say ukucha nilioukata utumike there shall be an ethical clearance ambayo iko stipulated na sheria za haki za binadamu na afya za UN/WHO??
sasa tuje taratibu, yawezekana kabisa kwamba haya yaliwah kufanyika lkn kwa ulimwengu wa sasa hili haliwez kutokea manake kutumia sehem yyte ya mwili wa binadamu hata iwe ukucha lazima upate ethical clearance na ni lazima uweke good convincing arguments ili upewe iyo clearance ingawa unailipia some good dollars??
sasa kwanza twende taratibu, mimi ninachokiona ni ama upotoshajia wa wazi ulofanywa na waandish wa hiyo habari ama walitaka waseme jambo fulan lkn wakakosa jins ya kulieka lieleweke.
kwangu mimi nitashangaa sana kuona bidhaa yyte itokanayo na sehem ya mwili wa binadamu ikiwa sokon kama commodity.
labda nikuulize itahitaj kuwa na watu wangapi ili kuweza kutengeneza rasta zote duniani?? na je hawa wote wanalipwa na nini??
na swali la msingi zaid kama mtu anaweza kuuza nywele zake je itakuwa na tofauti gani kama mtu akiuza damu yake ama na yule anayesema nauza mkono wangu??
hii ni kweli CITIZEN tv ya Kenya walisharusha kipindi cha tv kuonyesha hili.... , you may search chanel yao youtube na kujionea.
sio za maiti ni za watu walio hai kabisa, hasa nywele nyingi zinatoKa India na bara asia wanaziuza kwa viwanda vinavyotengeneza nywele kwa pesa ndogo sana, si unajua tena umaskini ulivyo huko india?!
vilevile huko india mtu akikaa au akiwa kwenye movie cinema na ni msichana mwenye nywele ndefu basi hukaa kwa makini na nywele zake manake kuna hao "wakata nywele" anamvizia mdada amejisahau anamkata nywele anakimbia nazo na kwenda kuziuza kwa vipesa vidogo.
zipo za plastic , za katani na natural human hair na hizi ndio bei ghali kabisaaa...!!!
I have been to India 6 times sijaona huo umasikini unaousema in fact ni nchi inayoendelea kwa kasi sana na sisi "matajiri" itatuchukua miaka pengine 100 kufikia ilipofika sasa
Ww umekaa kwa matajiri, rafki yangu India kuna baadhi ya maeneo maskin wa kutupwa. Fukara haswa. Ila kuna sehem ni kweli ukiwepo wala hufkiri km kuna maskin wanolala nje na kwenye slumdog
Hakuna nchi isiyo na masikini hata USA wapo ombaomba ila sikubaliani na wewe unavyosema kuwa India kama nchi ni masikini kabla ya kujenga hoja unatakiwa uchukue walau dakika chache ukusanye data then ndio ulete hoja.
Mkuu India isikie watu wakisema tu, jamaa wapo mbali sana kiuchumi na kitechnologia wana mji unaitwa Bangalore wenyewe wanauita IT city hapo ndio kwenye makao makuu ya kampuni ya software ya mahesabu ya tally.
Jamaa wana assemble magari kuanzia Chevloret, Nissan, marcedes etc. Ni wazalishaji wakubwa wa pamba wana viwanda vya nguo na makampuni makubwa ya nguo kama mark and Spencer wana viwanda vyao.
Mjini wa bangalore una fly over ya 60 km from airport to city centre.
Jaribu kupitia hizi links upate kutoa tongo za macho na pamba za masikio.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Automotive_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Textile_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Information_technology_in_India
Ikiwa hapa bongo wacheza movies wanabangaiza angalia wahindi wanavyochangia pato la taifa kupitia hiyo industry.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Entertainment_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Category:Shipbuilding_companies_of_India
Wana viwanda vya cement, chuma, chai, Madawa etc etc
Kubali kuwa itatuchukua miaka mingi kuweza kuwafikia hawa jamaa
Nakubaliana na unachoongea. Ila nimekupinga kusema kuwa u have been in India 6 times hukuona huo umaskini wa watu kufikia kuuza nywele. Ndo nkakwambia kuna sehem India watu wana hali mbaya so hili la kuuza nywele linawezekana pia.
[video=youtube_share;0Ry9gGS_SVQ]http://youtu.be/0Ry9gGS_SVQ[/video]
Nimekujibu kuwa sio India pekee yenye masikini hata USA wapo ombaomba ila sikubaliani na wewe unavyosema kuwa India kama nchi ni masikini.
Tatizo lako unatia chumvi nyingi sana mkuu.
Kama hutamani mbona kwenye aveta yako zipo???
bas sawa.... muda mwingi but muda mchache{yani siku mojamoja} kama kawa una 2pia wiglace lako.. vizuri!!!!
Wapi uliponi quote km nimesema India nchi maskini?
Kwanza mi ht sio wa mwanzo ulieni quote sema nimeingia katikati tu km mchuzi wa mseto.
Mada hapa ni nywele za bandia, na inasemekana huko India wahindi wanauza nywele zao ili wapate chcht cha kujikidhi. Kutokana na umaskin wa baadhi yao. Mi sijasema km India ni nchi maskini. Sheikh Mohammed
[video=youtube_share;0Ry9gGS_SVQ]http://youtu.be/0Ry9gGS_SVQ[/video]
Tena Wabudha huwa na sherehe/tambiko lao fulani hv ambalo hulazimika kukata nywele for a new start!! hizo nazo ni miongoni mwa nywele ambazo mashosti wa kibongo wanatoka nazo!We unaishi dunia ipi hujui kuwa watu haswa Hispanics, Asians wanauza sana nywele zao ili zikatengenezwe mawigi? Hii niliona wakati wa economoc melt down 2008-2009 Ulaya wanawake walikuwa wakiuza nywele zao.
tena mmepiga Ikulu ya wachonga ngenga, mtawakomaje!! yaani wenyewe wametokelezea afu muwaambie nywele zao ni za maskin wa India ambazo waliuza wapate mkate!!Baadhi ya watanzania ukigusa pahala ambapo kunamasilahi yake anakuwa mkali hata kama ni ya kijinga,ukali wao huwa kama mtu aliyeshikwa makalioni
I have been to India 6 times sijaona huo umasikini unaousema in fact ni nchi inayoendelea kwa kasi sana...