Hakuna nchi isiyo na masikini hata USA wapo ombaomba ila sikubaliani na wewe unavyosema kuwa India kama nchi ni masikini kabla ya kujenga hoja unatakiwa uchukue walau dakika chache ukusanye data then ndio ulete hoja.
Mkuu India isikie watu wakisema tu, jamaa wapo mbali sana kiuchumi na kitechnologia wana mji unaitwa Bangalore wenyewe wanauita IT city hapo ndio kwenye makao makuu ya kampuni ya software ya mahesabu ya tally.
Jamaa wana assemble magari kuanzia Chevloret, Nissan, marcedes etc. Ni wazalishaji wakubwa wa pamba wana viwanda vya nguo na makampuni makubwa ya nguo kama mark and Spencer wana viwanda vyao.
Mjini wa bangalore una fly over ya 60 km from airport to city centre.
Jaribu kupitia hizi links upate kutoa tongo za macho na pamba za masikio.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Automotive_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Textile_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Information_technology_in_India
Ikiwa hapa bongo wacheza movies wanabangaiza angalia wahindi wanavyochangia pato la taifa kupitia hiyo industry.
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Entertainment_industry_in_India
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Category:Shipbuilding_companies_of_India
Wana viwanda vya cement, chuma, chai, Madawa etc etc
Kubali kuwa itatuchukua miaka mingi kuweza kuwafikia hawa jamaa