Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

View attachment 2904857

Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi.

Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa duniani ya napatikana nchini Marekani.
Haya maziwa ni Michigan, Ontario, superior, Huron na Erie. Haya maziwa ni makubwa kuliko Victoria, Tanganyika na Nyassa.

Cha ajabu haya maziwa yameunganishwa na mfumo wa mifereji (plates) . Yaani meli inaweza kusafiri kutoka ziwa Victoria hadi Tanganyika hapa katikati wakachimba mifereji na kujaza maji na ikaendelea na safari hadi ziwa nyasa kwa njia hiyo hiyo. Wanachifanya ni kwamba pakiwa mlima, meli inaingia, kwenye kitu kama tenki, alafu maji Yanajazwa hadi wanafika kwenye sehemu tambalare ambako kunakuwa na Mfereji.

Kwa hiyo meli husafiri kwa njia hiyo kutoka sehemu moja Hadi sehemu Nyingine. Kwenye ubunifu kama huu, kwanini wasipate Maendeleo. Kuna mengi Sana ya kunifunza kuto USA kuliko kubisha tu. Hawa jamaa wanastahili hayo Maendeleo. Ni wabunifu Sana
Kwa hiyo unamlalamikia nani?, au unajilalamikia wewe na ujinga wako kutokujua?!. Nani alikuaminisha?!.
 
Kwanza wewe unachanganya jiografia ya Afrika na ya Marekani, hayo maziwa makuu ya Marekani yanajulikana na hata sisi wazee tumesoma zamani sana kuhusu maziwa hayo. Sidhani kama yule aliyesoma kuwa ziwa Victoria ndiyo kubwa kuliko yote duniani, labda ziwa Tanganyika ambalo ni la pili kwa kina kirefu.

Pili, Mmarekani mweupe hakuiba Afrika bali amewaibia wahindi wekundu kwa kuwaibia ardhi na hata nchi yao, hebu soma vizuri historia yako. Walioiba rasilimali ni Waingereza (kwenye makoloni yao hasa India), na Wafaransa (mpaka leo hii wanawaibia).

Nadhani ndiyo kwanza kusafiri kwa hivyo kila kitu unaona ajabu na unadhani watu wote ni wapori pori kama wewe.
Marekani ni mwizi jana,leo na kesho.
 
Mtoa mada hata hivyo kati ya hayo maziwa matano manne yote yako mpakani, wanashare pasu kwa pasu na Canada kasoro Lake Michigan tu ndio lote liko ndani ya US, kama tu sisi tunavyoshare maziwa yetu na nchi nyingine jirani
 
kuna ili ziwa victoria yani ni kama lipo lipo tu msaada wake ujajulikana mpaka leo.
ila umenishtua kichwa cha habari kusema maziwa makubwa maana na mke wangu mwembamba ana maziwa makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dahhhh....
Heading zingine muwe mnafanya upembuzi yakinifu alooo.....
Basi minimekuja nduki nikijua maziwa inamaanisha Boty..😋 kama likifua la mshangazi wangu mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one...🤨
 
View attachment 2904857

Kuna propaganda kubwa sana wa Africa IPO miongoni. Tumeaminishwa kwamba utajiri wa marekani unatokana na wizi wa madini Africa bila kujua kwamba marekani kuna kila aina ya malighafi.

Wengi wetu ukitaja maziwa makuu, atakwambia ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa. Tumedanganywa sana. Maziwa makubwa duniani ya napatikana nchini Marekani.
Haya maziwa ni Michigan, Ontario, superior, Huron na Erie. Haya maziwa ni makubwa kuliko Victoria, Tanganyika na Nyassa.

Cha ajabu haya maziwa yameunganishwa na mfumo wa mifereji (plates) . Yaani meli inaweza kusafiri kutoka ziwa Victoria hadi Tanganyika hapa katikati wakachimba mifereji na kujaza maji na ikaendelea na safari hadi ziwa nyasa kwa njia hiyo hiyo. Wanachifanya ni kwamba pakiwa mlima, meli inaingia, kwenye kitu kama tenki, alafu maji Yanajazwa hadi wanafika kwenye sehemu tambalare ambako kunakuwa na Mfereji.

Kwa hiyo meli husafiri kwa njia hiyo kutoka sehemu moja Hadi sehemu Nyingine. Kwenye ubunifu kama huu, kwanini wasipate Maendeleo. Kuna mengi Sana ya kunifunza kuto USA kuliko kubisha tu. Hawa jamaa wanastahili hayo Maendeleo. Ni wabunifu Sana

Get your facts right Mkuu

Victoria ni la tatu kwa ukubwa baada ya Caspian na Superior
Tanganyika ni la 6 na Nyasa la 9

Dahhhh....
Heading zingine muwe mnafanya upembuzi yakinifu alooo.....
Basi minimekuja nduki nikijua maziwa inamaanisha Boty..[emoji39] kama likifua la mshangazi wangu mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one...[emoji2955]
Wee fala ndo maana mods wamegoma kukubadilishia avatar [emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio umeongea ukweli.
Nina rafiki yangu anaishi US ila kazaliwa uingereza " huwa anasema msemo uliousema hapo"
Ile Nchi ni ya kibepari zaidi. Wanaofurahia maisha Us ni wale wenyepesa.
Marekani uchumi wake ukiyumba anatafuta wa kumuibia sasahivi Middle East ndio anapofanyia ujambazi wake.
 
Back
Top Bottom