Je unajua maziwa makubwa duniani yako Marekani? Na yote yameunganiswa na mifereji

Kwa hiyo unamlalamikia nani?, au unajilalamikia wewe na ujinga wako kutokujua?!. Nani alikuaminisha?!.
 
Marekani ni mwizi jana,leo na kesho.
 
Mtoa mada hata hivyo kati ya hayo maziwa matano manne yote yako mpakani, wanashare pasu kwa pasu na Canada kasoro Lake Michigan tu ndio lote liko ndani ya US, kama tu sisi tunavyoshare maziwa yetu na nchi nyingine jirani
 
kuna ili ziwa victoria yani ni kama lipo lipo tu msaada wake ujajulikana mpaka leo.
ila umenishtua kichwa cha habari kusema maziwa makubwa maana na mke wangu mwembamba ana maziwa makubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dahhhh....
Heading zingine muwe mnafanya upembuzi yakinifu alooo.....
Basi minimekuja nduki nikijua maziwa inamaanisha Boty..😋 kama likifua la mshangazi wangu mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one...🤨
 

Get your facts right Mkuu

Victoria ni la tatu kwa ukubwa baada ya Caspian na Superior
Tanganyika ni la 6 na Nyasa la 9


 
Dahhhh....
Heading zingine muwe mnafanya upembuzi yakinifu alooo.....
Basi minimekuja nduki nikijua maziwa inamaanisha Boty..[emoji39] kama likifua la mshangazi wangu mwa J mbwa yule aliniambukiza uti grade one...[emoji2955]
Wee fala ndo maana mods wamegoma kukubadilishia avatar [emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio umeongea ukweli.
Nina rafiki yangu anaishi US ila kazaliwa uingereza " huwa anasema msemo uliousema hapo"
Ile Nchi ni ya kibepari zaidi. Wanaofurahia maisha Us ni wale wenyepesa.
Marekani uchumi wake ukiyumba anatafuta wa kumuibia sasahivi Middle East ndio anapofanyia ujambazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…