Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Ungejibu maswali yote hapa kwa faida ya wote ingekua poa mno
KaribuOk ok
Je kuna ukweli wowote kuhusu dawa za binadamu hasa antibiotics na za minyoo zinafanya vizuri kwa kuku na wanyama wengine?Karibuni kwa maswal
Japo kitaalamu hatushauri, ila ni moja kati ya mbinu ambayo wafugaji wengi wamekua wakitumia, na imeleta matokeo kwa mujibu waoJe kuna ukweli wowote kuhusu dawa za binadamu hasa antibiotics na za minyoo zinafanya vizuri kwa kuku na wanyama wengine?
Kama inaleta matokeo kwa nini nyie wataalamu hamshauri?Japo kitaalamu hatushauri, ila ni moja kati ya mbinu ambayo wafugaji wengi wamekua wakitumia, na imeleta matokeo.
Wewe umesema dawa inaleta matokeo , mimi nikauliza swali ,swali langu hapo linakuaje la kipuuzi ?Hili swali lako ndugu nilakipuuzi, kwani kwanini kuna dawa za binadamu na mifugo?
Ukinijibu swali langu kwanini kuna dawa za binadamu na mifugo, nitakujibu swali lako piaWewe umesema dawa inaleta matokeo , mimi nikauliza swali ,swali langu hapo linakuaje la kipuuzi ?
Yani wewe ndio mtaalamu halafu unaniuliza mimi tena? Mkuu unakwama wapi ?Ukinijibu swali langu kwanini kuna dawa za binadamu na mifugo, nitakujibu swali lako pia
Matumizi ya dawa za binadamu kwenye mifugo hayaruhusiwi kwa sababu, mabaki ya dawa za binadamu kwenye bidhaa za mifugo huhatarisha afya ya jamii.Kama inaleta matokeo kwa nini nyie wataalamu hamshauri?