Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti.
Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona wametua kwenye waya wa juu kabisa ambao ni EARTH (zero potential ) wanaziogopa waya zenye moto, you know why?
Kwanza kabisa kinachomuua kiumbe hai ni CURRENT sio VOLTAGE, hivyo ili kiumbe kipigwe shoti lazima CURRENT ipite mwilini. So katika umeme mdogo 33Kv and below ndege wanatua bila shida coz hakuna CURRENT inayopita kwenye miili yao kwa kuwa ni OPEN CIRCUIT , yani kwa kugusa waya mmoja circuit inakua haijakamilika ila kinachopita ni VOLT tu yenye 60Hz frequency . Hivyo ukimpima ndege huyo umeme wake with respect to ground ni sawa na umeme wa kwenye waya aliokanyaga.
Balaa inakuja kwenye GRIDI 220Kv, Kwenye umeme mkubwa kama huo unazalisha mionzi mikali(electric fields) zenye uwezo wa kuivunja hewa inayozunguka hivyo kuzalisha CURRENT. Hiyo ni sababu ya kusikia sauti kama vile waya zina vibrate. So kiumbe hai chochote kikipita karibu na waya ule kitavutwa kwa mtindo wa sumaku na CURRENT hio inatosha kabisa kuua. google ''CORONA IN ELECTRICITY'. Karibuni muongezee wakuu.