Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

Duuuh, nimekaa kaa karibu na matransifoma, nasikia yakiunguruma kwa frequency ya 50Hz, pengine masikio yangu yana shida!
- Naona bulb yangu imeandikwa 220V, 50Hz
Mko sawwa wakubwa sema unapimaje frequency kwa masikio?
 
Ingekuwa wanaweza kusimama kwenye 220kv halafu kwenye 33kv ndipo wanaogopa hapo ndio ingekuwa ajabu.
Hata mm nimeshangaa tumongezee hawawe kusimama hata 550 kv vp anaendelea kushangaa ina maana hajui sabb n8 nn
 
Hukupigwa ila ulifundishwa kulingana na level uliyokua kipindi hicho. Suala kubwa inapokuja kuhusu kupigwa short ni stregth ya insulation iliyopo. Umeme unavyozidi kuwa mkubwa insulation ya kuzuia usipigwe short inazidi kuwa kubwa. Ndio maana kwenye umeme mdogo insulation waliyonayo miguuni inawazuia wasipigwe short kuliko umeme mubwa.
Inazidi kua ndogo sio insulation inakua kumwa
 
Back
Top Bottom