Mmmh! Miaka nane na yametoboka.🥶Mwanangu ana umri wa miaka 8 lakini meno ya kutafunia mawili yametoboka. Moja walimtoa. Je yataota mengine au ndiyo basi. Zirconium
Ngoja waje watakupa majibuMwanangu ana umri wa miaka 8 lakini meno ya kutafunia mawili yametoboka. Moja walimtoa. Je yataota mengine au ndiyo basi. Zirconium
Alafu hata siyo mla pipi au biscuit na shuleni hakuna duka ni msosi wa shule tuu nyumbani.Mmmh! Miaka nane na yametoboka.🥶
Mmmh! Miaka nane na yametoboka.🥶