Chapdesigns TZ
Member
- Apr 27, 2020
- 28
- 29
Leo tutaenda kujadili concept moja muhimu sana kuifahamu kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali (au unatamani kuwa).
Je, ushawahi kujiuliza bidhaa yako au huduma yako inagusa eneo gani la mteja?
Je, una-deal na customer needs au wants?
Nadhani wengi tuna majibu,..lakini kama huna endelea kusoma.
Customer needs ni yale mahitaji muhimu kabisa,yanayoashiria survival ya binadamu kama vile chakula,mavazi,afya,makazi,mahusiano bora n.k
Baada ya kupata uhakika wa needs, ndipo wateja watahamia katika kukidhi mahitaji ya ziada(wants).
Kuanzia kununua simu kali,magari,pombe,vacations n.k
Kiuhalisia kuna interaction katika needs and wants, ndio maana ukienda kula kwa mama ntilie bei ni tofauti na serena hotel.
Japo kuwa unafill the same need ya chakula,..ila kula serena is more of a what rather than a need (especially for most people).
KWANINI UFAHAMU YOTE HAYA?
Jibu liko ktk marketing, njia utazotumia kushawishi wateja kuja kwako zitakua tofauti kutegemea na biashara yako.
Kama una deal na needs au wants, lazima utumie mbinu tofauti tofauti.
Je, wataka kuzifahamu mbinu hizo?
Endelea kufatilia masomo ya marketing kutoka kwetu kila siku, hakika utafahamu.
Kama una maoni au maswali..tuambie hapo chini.
Imeletwa kwako na : CHAP CHAP BUSINESS DESIGNS TZ
Sent using Jamii Forums mobile app