hizi mambo zinapendeza sana nyumba safi za kishua kama za masaki,oysterbay,mbezi beach au kwa wenye pesa zao ila kina sie wenye vinyumba vya 20×30 na havina hata fensi alafu eti una kibwawa umeweka samaki hapo paka hawachezi mbali hata ukisema umejenga hio pond ili uwe unapiga mbizi wabongo waliojaa roho ya kwanini watakuona unajishaua basi watamwaga upupu humo ndani alafu jitupe uone..