Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
- Thread starter
- #21
😅 umemeza dawa leo?Tuoneshe yako kuanzia hatua ya awali hadi unakuja kuvuna gunia 40+
😅 umemeza dawa leo?Tuoneshe yako kuanzia hatua ya awali hadi unakuja kuvuna gunia 40+
Lazima mkimbilie huku kwenye uelewaInaonekana hata ujaelewa kabisa
Matapeli haoInaonesha IQ yako ilivyo duni
Kama Kusema unaweza kuvuna gunia 5 hadi 40 kwa ekari ni utapeli? Basi kila kitu ni utapeliMatapeli hao
Wanahamisha tu tent….kule kwenye sms wanakamatwa sana aiku hizi
Tuambie Hilo shamba liko wapi tuje kulitembeleaKama Kusema unaweza kuvuna gunia 5 hadi 40 kwa ekari ni utapeli? Basi kila kitu ni utapeli
Mkulima hawezi kuuliza swali hilo. Sababu tu hata msingi wa uzi huu ujaelewa.Tuambie Hilo shamba liko wapi tuje kulitembelea
Acha utapeli kijanaaaa
Sema hata Leo tutakuja
Hiki sio kilimo cha kwenye makaratasi. Ila ni kilimo kwenye karatasi.Hatutaki kilimo cha kwenye makaratasi, tunataka kilimo cha vitendo shambani.
Inawezekana kabisaWapo wazungu waliwahi kutoka demo ya kilimo Cha mpunga kwa heka Moja tu.
Ziligunwa gunia 60 kwa heka.
Umesoma vizuri kweli?Mr content creator una safari ndefu sana ya kuweza kufikisha hoja zako kwa ulio wakusudia na ukasikilizwa sababu bado unamis vitu vyeye uhalisia kwenye thread zako zote . Mpunga unatofautiana uzaaji kulingana na mbegu pamoja na matunzo hadi kuvuna
Ukiona unaitwa kwenye fursa fahamu we2e ndie fursa yenyeweDa... umeniwahi lakini bado umenichekesha sana. Ni kweli. Na ndilo tatizo kubwa la sisi watanzania. Unakuta watu wanalima kwa kutumia makundi ya Whatsup. Mimi nadhani njia nzuri sana ya kufundisha watu ni kuanzisha mahamba ya mfano na siyo makundi ya Whatsup.
Wala sio ajabu kuvuna gunia 40 kwa ekari moja mm navuna gunia 55 -hadi stini kama msimu ni mzuri na ukitaka mchanganuo nakupaTuoneshe yako kuanzia hatua ya awali hadi unakuja kuvuna gunia 40+
Wala sio ajabu kuvuna gunia 40 kwa ekari moja mm navuna gunia 55 -hadi stini kama msimu ni mzuri na ukitaka mchanganuo nakupa
Tuwekee mchanganuo mkuu.Wala sio ajabu kuvuna gunia 40 kwa ekari moja mm navuna gunia 55 -hadi stini kama msimu ni mzuri na ukitaka mchanganuo nakupa
Tuwekee mchanganuo mkuu.
Ndiyo najua! Ingawa mimi niliishia 35!je, unajua kuna wakulima wanaovuna hadi gunia 40 kwa ekari moja?