Kwakua tayari ilishaanza kutoa macho so haikawii kuota baada ya siku tatu naipeleka mbolea ya dup,baada ya kweka dapu nasubiri siku kumi mbele naipeleka mbolea ya urea kwa ajili ya ukuwaji hapo tayari nimenunua sumu na Busta kwenye siku ya 12-14 mbegu imechangamka napiga sumu baada ya siku moja napiga Busta hapo Sasa mbegu inatakiwa ikae na maji kwa muda mwingi baada ya hapo kwenye siku ya 20/21 narudia urea kwa ajili ya wakati wakuitoa isikatike hapo hapo naiangalia kama itakuwa imeonyesha dalili za ugonjwa au wadudu nitarudia sumu lakini kama ikomakini napuliza Busta tu Busta ninayotumi ni ya vegimax na sumu ninayo itumia ni mupafoceIko hivi Kwanza lazima ulime mbegu yenye ubora hicho ni chakwanza mm huwaga nanunua ile mbegu special mifuko 8 baada ya hapo naanda vitalu vya mbegu ,nikishamaliza nailoweka mbegu kwenye maji masaa 24 alafu naitoa naingoja ikianza kutoa macho naipeleka kumwaga kwenye vitalu
Kwakua tayari ilishaanza kutoa macho so haikawii kuota baada ya siku tatu naipeleka mbolea ya dup,baada ya kweka dapu nasubiri siku kumi mbele naipeleka mbolea ya urea kwa ajili ya ukuwaji hapo tayari nimenunua sumu na Busta kwenye siku ya 12-14 mbegu imechangamka napiga sumu baada ya siku moja napiga Busta hapo Sasa mbegu inatakiwa ikae na maji kwa muda mwingi baada ya hapo kwenye siku ya 20/21 narudia urea kwa ajili ya wakati wakuitoa isikatike hapo hapo naiangalia kama itakuwa imeonyesha dalili za ugonjwa au wadudu nitarudia sumu lakini kama ikomakini napuliza Busta tu Busta ninayotumi ni ya vegimax na sumu ninayo itumia ni mupafoc
Baada ya hapo nasubiri ikifika siku 26 happo naanda shamba kwa mfumo wa ninapolimia huwaga ni sehemu ya umwagiliaji so uhakika wa maji upo kwaio shamba huwaga naaliandaa kwa siku mbili tu siku ya Kwanza powetiler itavuruga shamba nzima inamana kuchavanga siku ya pili powertiler itarudia tena kuvuruga ikisha maliza huwaga naenda na vijana kwaa ajili ya kutengeneza line za maji na box zake kwaajili wakati wa kumwagilia maji iende kwa mpangilio na iwe inahifazika kwenye box siku ya 28 Sasa hapo natoa mbegu yangu kwa ajili ya kupandikiza hapo tayari nimeandaa jeshi la akina mama kwa ajili ya kupandikiza siku hio hio mbegu inatolewa siku hio hio inapandikizwaKwakua tayari ilishaanza kutoa macho so haikawii kuota baada ya siku tatu naipeleka mbolea ya dup,baada ya kweka dapu nasubiri siku kumi mbele naipeleka mbolea ya urea kwa ajili ya ukuwaji hapo tayari nimenunua sumu na Busta kwenye siku ya 12-14 mbegu imechangamka napiga sumu baada ya siku moja napiga Busta hapo Sasa mbegu inatakiwa ikae na maji kwa muda mwingi baada ya hapo kwenye siku ya 20/21 narudia urea kwa ajili ya wakati wakuitoa isikatike hapo hapo naiangalia kama itakuwa imeonyesha dalili za ugonjwa au wadudu nitarudia sumu lakini kama ikomakini napuliza Busta tu Busta ninayotumi ni ya vegimax na sumu ninayo itumia ni mupafoce
Mfumo ninaoutumia kwenye kupandikiza ni mchaka mchaka mm huwaga situmii kamba au jina lingine kibao hio situmii na nimesahau kusema aina ya mbegu ninayo tumia kutokana na eneo langu ni saro 5 nikipata nafasi nitaleta mchanganuo wa mboleaBaada
Baada ya hapo nasubiri ikifika siku 26 happo naanda shamba kwa mfumo wa ninapolimia huwaga ni sehemu ya umwagiliaji so uhakika wa maji upo kwaio shamba huwaga naaliandaa kwa siku mbili tu siku ya Kwanza powetiler itavuruga shamba nzima inamana kuchavanga siku ya pili powertiler itarudia tena kuvuruga ikisha maliza huwaga naenda na vijana kwaa ajili ya kutengeneza line za maji na box zake kwaajili wakati wa kumwagilia maji iende kwa mpangilio na iwe inahifazika kwenye box siku ya 28 Sasa hapo natoa mbegu yangu kwa ajili ya kupandikiza hapo tayari nimeandaa jeshi la akina mama kwa ajili ya kupandikiza siku hio hio mbegu inatolewa siku hio hio inapandikizwa