Je, unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?

amando pascal

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
7
Reaction score
30
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?

T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea off-road kiufupi ni ile go-anywhere snow, dirt, and gravel.

IMG_0299.jpg
 
Spare Sasa😃😃
Fuel ndo usiseme
Hilo ndilo gari pendwa Kwa SASA hata mtandao wa be forward mwezi 8 ilikuwa namba moja Kwa watanzania kuagiza...
Spare parts zipo nyingi Sana tena kila mtaa Kwa hapa DAR pia mafundi ni wengi Sana wa Subaru forester kuhusu fuel consumption iko poa Sana kushinda Toyota harrier
 
Fuel what…!?[emoji23]

Sio kwa 7km/L
 
Mkuu umenikumbusha Arusha. Miaka ya 2012 hadi 2017 subaru zilizagaa Arusha. Vijana wengi walipenda Subaru sana. DAAA ILA Arusha, wale watu Nyerere angechelewa kudai uhuru wa Tanganyika, wao wangeenda UN kudai uhuru wa United Sates of Arusha.
Subie ambazo naziona kidogo sio kelele pale mwendo upo Kuna moja DHV ya silver, na CTP zote Ni cross sport hio moja Ni ka imewekwa Nini sijui Bomba la Moshi ikikanyagwa inatoa mlio mmoja amazing na inatembea Hadi nyuma inabonyea
 
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?

T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea off-road kiufupi ni ile go-anywhere snow, dirt, and gravel.

View attachment 2462326

kwani XT zote zina Turbo?

nafuu hata useme Extra Tough kama ambavyo Scania XT zinavyoitwa
 
Mkuu ukijaribu kuperuzi machapisho mbalimbali kuhusu subaru, utaona mengi yanahusianisha XT na turbo charger!

Labda kama unaweza kuleta baadhi ya mifano ya XT ambazo ni natural aspirated..
 
Zipo nyingi sana mkuu mkuu. tena fuatia kwa soko la hapa TZ zenye turbo zinauzwa bei chee wakati ambazo hazina turbo bei juu
 
Back
Top Bottom