Je, unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?

Subaru ni noma , sihami

Fuel consumption ipoje... kwa mjini na kwa high way? Mfano trip ya 70Km (go & return) kila siku.

Kuna mdau ana Subaru forester, alinambia kuwa hizi gari ni kichomi sana kwenye rough road, kwamba zinaua sana miguu kwenye rough roads, na akasema shock ups zake ni ghali sana. Hili lipoje mkuu?

-Kaveli-
 
Mkuu umenikumbusha Arusha. Miaka ya 2012 hadi 2017 subaru zilizagaa Arusha. Vijana wengi walipenda Subaru sana. DAAA ILA Arusha, wale watu Nyerere angechelewa kudai uhuru wa Tanganyika, wao wangeenda UN kudai uhuru wa United Sates of Arusha.
Chuga sio chawa. Wana uchumi wao ambao hautegemei bajeti kuu
 
Back
Top Bottom