amando pascal
Member
- Sep 30, 2018
- 7
- 30
Spare Sasa[emoji2][emoji2]
Fuel ndo usiseme
Hilo ndilo gari pendwa Kwa SASA hata mtandao wa be forward mwezi 8 ilikuwa namba moja Kwa watanzania kuagiza...Spare Sasa😃😃
Fuel ndo usiseme
Hilo ndilo gari pendwa Kwa SASA hata mtandao wa be forward mwezi 8 ilikuwa namba moja Kwa watanzania kuagiza...
Spare parts zipo nyingi Sana tena kila mtaa Kwa hapa DAR pia mafundi ni wengi Sana wa Subaru forester kuhusu fuel consumption iko poa Sana kushinda Toyota harrier
Why?I see Turbo, I RUN
Mkuu umenikumbusha Arusha. Miaka ya 2012 hadi 2017 subaru zilizagaa Arusha. Vijana wengi walipenda Subaru sana. DAAA ILA Arusha, wale watu Nyerere angechelewa kudai uhuru wa Tanganyika, wao wangeenda UN kudai uhuru wa United Sates of Arusha.Subaru gari za wahuni
hii yenye ni kwa ip?Fuel what…!?[emoji23]
Sio kwa 7km/L
Vanguard mashine weweSubaru imekuja kufunika vibe la Vanguard sijui Outlander
Subie ambazo naziona kidogo sio kelele pale mwendo upo Kuna moja DHV ya silver, na CTP zote Ni cross sport hio moja Ni ka imewekwa Nini sijui Bomba la Moshi ikikanyagwa inatoa mlio mmoja amazing na inatembea Hadi nyuma inabonyeaMkuu umenikumbusha Arusha. Miaka ya 2012 hadi 2017 subaru zilizagaa Arusha. Vijana wengi walipenda Subaru sana. DAAA ILA Arusha, wale watu Nyerere angechelewa kudai uhuru wa Tanganyika, wao wangeenda UN kudai uhuru wa United Sates of Arusha.
Arusha unyama sanaMkuu umenikumbusha Arusha. Miaka ya 2012 hadi 2017 subaru zilizagaa Arusha. Vijana wengi walipenda Subaru sana. DAAA ILA Arusha, wale watu Nyerere angechelewa kudai uhuru wa Tanganyika, wao wangeenda UN kudai uhuru wa United Sates of Arusha.
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini?
T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea off-road kiufupi ni ile go-anywhere snow, dirt, and gravel.
View attachment 2462326
Mkuu ukijaribu kuperuzi machapisho mbalimbali kuhusu subaru, utaona mengi yanahusianisha XT na turbo charger!kwani XT zote zina Turbo?
nafuu hata useme Extra Tough kama ambavyo Scania XT zinavyoitwa
Mkuu ukijaribu kuperuzi machapisho mbalimbali kuhusu subaru, utaona mengi yanahusianisha XT na turbo charger!
Labda kama unaweza kuleta baadhi ya mifano ya XT ambazo ni natural aspirated..