a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 611
- 993
1)JE? unajutia kwanini ulisomea taaluma ya kazi yako ya sasa??ulishawahi jilaumu kwa nini ulisomea kazi yako uliyonayo sasa wakati wakati una apply ulikuwa na uwanja mpana wa machagua ya fani mbalimbali tofauti?
2)Je? unahisi haukuwa na information za kutosha/ exposure
ya fani/ujuzi wa kazi uliyoisomea kipindi unajiunga na chuo cha taaluma ujuzi uliosomea.
3)Je?unafurahia taaluma yako kazi yako unayoifanya sasa.
4)Je ? uhalisia wa kazi yako ni tofauti na matarajio yako kipindi ukiwa unasoma chuo.
5)Je? kuna fani/kazi ulikuwa unazidharau hapo mwanzo kipindi unafanya application lakini baadae ukaja kugundua zilikuwa ni chaguo bora kuliko fani/kazi uliyosomea .?
6)Je? umewahi kubadilisha fani mfano first degree mbili tofauti,baada ya kuhitimu degree ya kwanza baadae ukaenda kusoma upya degree ya kwanza nyingine tifauti na ile ya mwanzo, au diploma nyingine mpya tofauti na ya kwanza.
**UNAKABILIANA vipi na stress za kazi yako,ulifanikiwa vipi kuzitatua
,**una ushauri upi kwa anayepitia changamoto za STRESS ZA KAZI kama ya kwako.