DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Katika uchaguzi wowote, mara nyingi taarifa huibuka kabla ya matokeo rasmi. Matokeo yanayovuja mtandaoni yanaweza kuchanganya mawazo na kuibua mashaka. Je, wewe unakabiliana vipi na taarifa hizi kabla ya kutolewa rasmi na mamlaka?
Soma Pia: GE2025 - Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?
Soma Pia: GE2025 - Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?