Ndio,anza kutafuta rekodi za unbeaten za Afrika,magoli kwa mechi,aina ya mpira,na ufuatiliaji wa mechi,ongeza mchango kimapato,iwe kwa wachezaji au uchumi.š¤Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
šumechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.Ubora wa timu ya taifa hauna uhusiano wa moja kwa moja na ubora wa ligi. Ligi ya Brazil au Argentina sio ligi zinazofahamika ulimwenguni lakini timu zao za taifa ziko juu sana ya nchi zenye ligi bora sana kama England, German nk. Ubeljiji imekuwa na timu bora ya taifa lakini ligi yake haijawahi kuwa moja ya ligi bora duniani. Sababu ni kuwa kwenye ligi wachezaji wa mataifa mbalimbali wanashiriki ambao hawachezi kwenye timu ya taifa yenye hiyo ligi. Kwa mfano ligi ya TZ inasemwa ni bora ila ukiangalia first XI ya timu kama Simba au Yanga na hata Azam karibu wote wanatoka nchi nyingine nje ya TZ.
Lazima kutakuwa na vigezo wametumia, Mi nadhani hivyo vigezo walivyotumia ndio vimewafanya wachague hivyo.Kwa hivyo hivyo vigezo walivyotumia wao.Kwa sababu wao ndio waliochagua.šumechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.
sasa twende kwenye vigezo,tz ligi yetu imeshika nafasi ya tano wametumia vigezo vipi?
Afrika ama Afrika sana mkuuKama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
mimi sipingi ligi yetu kuwa kwenye iyo nafasi.ngoja tusubiri wajuvi wa haya mambo watujuze ivyo vigezo ni vipi.Lazima kutakuwa na vigezo wametumia, Mi nadhani hivyo vigezo walivyotumia ndio vimewafanya wachague hivyo.Kwa hivyo hivyo vigezo walivyotumia wao.Kwa sababu wao ndio waliochagua.
Kivyovyote haipo mkuu, kwa lipi?kama wamechagua wachague.mimi sipingi ligi yetu kuwa kwenye iyo nafasi.ngoja tusubiri wajuvi wa haya mambo watujuze ivyo vigezo ni vipi.
duh wajumbe mmegogoma kabisa.Kivyovyote haipo mkuu, kwa lipi?kama wamechagua wachague.
Ndio Simba kafanya hayo mambo na mdhamini wa ligi na Deby yetu Bora sana, CAF wanaangalia na nchi potential kupata pesa na promoKama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
inawezekana kuna vigezo walivitaja ila personally sijaona hiyo documentation ya vigezošumechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.
sasa twende kwenye vigezo,tz ligi yetu imeshika nafasi ya tano wametumia vigezo vipi?
Ukweli utuweke huru, unambie suruali yangu nzuri lakini imetoboka makalioni.duh wajumbe mmegogoma kabisa.
Ili roho yako ifurahi, wewe ulitaka ligi Tanzania iwe ya ngapi?Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo.
Nini maoni yako kuhusu hili?
14Ili roho yako ifurahi, wewe ulitaka ligi Tanzania iwe ya ngapi?
algeria tunaweza kuwa 'tumewazidi'..,.... nasisitiza 'tunaweza'Ki uhalisia tumezidiwa na Tunisia, Misri, Sauzi, Algeria, Morocco.
Sisi ni wa 6