Je, unakubali kuwa Ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora Afrika?

Je, unakubali kuwa Ligi ya Tanzania ni ya 5 kwa ubora Afrika?

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
501
Reaction score
788
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo.

Nini maoni yako kuhusu hili?
 
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
Ndio,anza kutafuta rekodi za unbeaten za Afrika,magoli kwa mechi,aina ya mpira,na ufuatiliaji wa mechi,ongeza mchango kimapato,iwe kwa wachezaji au uchumi.🤔
 
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?

Ubora wa timu ya taifa hauna uhusiano wa moja kwa moja na ubora wa ligi. Ligi ya Brazil au Argentina sio ligi zinazofahamika ulimwenguni lakini timu zao za taifa ziko juu sana ya nchi zenye ligi bora sana kama England, German nk.

Ubelgiji imekuwa na timu bora ya taifa lakini ligi yake haijawahi kuwa moja ya ligi bora duniani. Sababu ni kuwa kwenye ligi wachezaji wa mataifa mbalimbali wanashiriki ambao hawachezi kwenye timu ya taifa yenye hiyo ligi. Kwa mfano ligi ya TZ inasemwa ni bora ila ukiangalia first XI ya timu kama Simba au Yanga na hata Azam karibu wote wanatoka nchi nyingine nje ya TZ.
 
Ubora wa timu ya taifa hauna uhusiano wa moja kwa moja na ubora wa ligi. Ligi ya Brazil au Argentina sio ligi zinazofahamika ulimwenguni lakini timu zao za taifa ziko juu sana ya nchi zenye ligi bora sana kama England, German nk. Ubeljiji imekuwa na timu bora ya taifa lakini ligi yake haijawahi kuwa moja ya ligi bora duniani. Sababu ni kuwa kwenye ligi wachezaji wa mataifa mbalimbali wanashiriki ambao hawachezi kwenye timu ya taifa yenye hiyo ligi. Kwa mfano ligi ya TZ inasemwa ni bora ila ukiangalia first XI ya timu kama Simba au Yanga na hata Azam karibu wote wanatoka nchi nyingine nje ya TZ.
👆umechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.

sasa twende kwenye vigezo,tz ligi yetu imeshika nafasi ya tano wametumia vigezo vipi?
 
👆umechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.

sasa twende kwenye vigezo,tz ligi yetu imeshika nafasi ya tano wametumia vigezo vipi?
Lazima kutakuwa na vigezo wametumia, Mi nadhani hivyo vigezo walivyotumia ndio vimewafanya wachague hivyo.Kwa hivyo hivyo vigezo walivyotumia wao.Kwa sababu wao ndio waliochagua.
 
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
Afrika ama Afrika sana mkuu
 
Ubora wa timu ya taifa wakati Kuna wachezaji wa kigeni mpaka timu ndogo kama coastal ili kuleta ushindani hapo sijataja Simba ,yanga na singida .

Ligi Ina vitu vingi hata uingereza ni Bora ila angalia kweny ranking ya timu ya taifa wapo wa ngapi while the toppers ni Brazili na Argentina ila angalia ligi zao hata unazijua pale Argentina ni bocca junior na river plate .

Ligi inapimwa kwa investment inayofanywa na kucover wide angle leo mchezaji akisajiliwa kutoka congo inawezekana wacongo wakaangalia ligi mwenzao aliyoenda ili kumfuatilia..Wengi tumeanza kuzijua timu kama Genk na nyingine huko Belgium kwa vile samatta alienda .

Pale uingereza ni Bora kwa vile Kuna world class players form all angles of the world..So massive investments ni crucial way to add value In the league.
 
Achana na top 5 kiuhalisia ligi yetu haipo ata katika top 10. Ogopa matapeli.
 
Lazima kutakuwa na vigezo wametumia, Mi nadhani hivyo vigezo walivyotumia ndio vimewafanya wachague hivyo.Kwa hivyo hivyo vigezo walivyotumia wao.Kwa sababu wao ndio waliochagua.
mimi sipingi ligi yetu kuwa kwenye iyo nafasi.ngoja tusubiri wajuvi wa haya mambo watujuze ivyo vigezo ni vipi.
 
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo. Nini maoni yako kuhusu hili?
Ndio Simba kafanya hayo mambo na mdhamini wa ligi na Deby yetu Bora sana, CAF wanaangalia na nchi potential kupata pesa na promo
 
👆umechambua vizuri timu ya taifa kutokua na uhusiano na ubora wa ligi asiyeelewa hapa basi tena.

sasa twende kwenye vigezo,tz ligi yetu imeshika nafasi ya tano wametumia vigezo vipi?
inawezekana kuna vigezo walivitaja ila personally sijaona hiyo documentation ya vigezo
 
Ki uhalisia tumezidiwa na Tunisia, Misri, Sauzi, Algeria, Morocco.

Sisi ni wa 6
 
Hata mimi hili nalikataa haiwezekani club zetu miaka yote zikicheza michuano ya kimataifa hata kuingia robo fainali ni ndoto hii ni dalili ata wachezaji wanaosajiliwa wapo chini ya kiwango
 
Kama thread inavyojieleza, mm binafsi sihafiki hili, ligi yetu sio bora kwa kiwango wanachotuaminisha. Moja ya zao la ligi bora ni kuwa na timu nzuri ya taifa, Kwetu timu yetu ya Taifa ni mdebwedo.

Nini maoni yako kuhusu hili?
Ili roho yako ifurahi, wewe ulitaka ligi Tanzania iwe ya ngapi?
 
Back
Top Bottom