Je! Unakubaliana na mimi kuwa huyu ndiye king wa soka kuwahi kutokea!!

Je! Unakubaliana na mimi kuwa huyu ndiye king wa soka kuwahi kutokea!!

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537
Je! Unakubaliana na mimi kuwa huyu ndiye king of football kuwahi kutokea since dunia iumbwe!!


Wachache sana watakuja kupinga lakini huu ndiyo ukweli wenyewe.
 
Mimi ukiniuliza nitakuambia Gaucho.

Gaucho alidumu kwa miaka miwili tu akajichokea, ukilinganisha na huyu kiumbe bora kuwahi kutokea kwa miaka 10 mfululizo..
 
Messi kaisaidia nini Argentina? Miaka yake yote aliyocheza Barcelona angalia alikuwa kazungukwa na watu wa namna gani, mafundi wa kutosha, huyu ata kwa CR7 haingii, katoka EPL, LA LIGA na sasa seria A.
 
Mkuu mederii nikajua kawapa ubingwa labda, kumbe kawafanikisha tu kushiriki, mbona timu nyingi zimeshiriki? Kashiriki michuano mingapi ya Kombe akiwa kwenye ubora na kafanya nini? Huyu alikuwa kazungukwa na mafundi wa mpira pale Catalunya na si vinginevyo.
 
Kwa nyakati hizi nikabali messi, ila kusema kuwahi kutokea hakuna kitu hicho.
 
Back
Top Bottom