Habari Wakuu mko poa,
Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi,
Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi ile aliposimama na kusema je nikitoka nani! Atayaendeleza mambo haya" Watanganyika 12:14
Unaona eeh🤣 basi twende kwa mtililiko huko tuianze weekend.