Je Unakumbuka huu msemo kipindi fulani ulikuwa kiki sana Basi leo tuurudie

Je Unakumbuka huu msemo kipindi fulani ulikuwa kiki sana Basi leo tuurudie

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari Wakuu mko poa,

Ipo hivi kulikuwa na misemo tofauti tofauti ambayo kama inafurahisha hivi unasema kitu harafu mbele unaweka kama mstari wa biblia flani hivi,

Mfano! " Ndipo Mkuu wa Nchi ile aliposimama na kusema je nikitoka nani! Atayaendeleza mambo haya" Watanganyika 12:14

Unaona eeh🤣 basi twende kwa mtililiko huko tuianze weekend.
 
Nauli ya kumtumia demu ni 7800.

Wakulungwa 12:4
 
Back
Top Bottom