Je unakumbuka Mara ya kwanza kukutana na Mpenzi wako mkajuana ilikua wapi?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951

(1)kwenye daladala

(2)disco

(3)kanisani/msikitini

(4) ulipokosea namba ukipiga simu ndo ikawa mwanzo wa kujuana

(5)kwenye sherehe/msibani

(6) bar/hotelini

(7) facebook

(8)barabarani

(9)kichochoroni

(10)taja sehemu yako kama haipo hapa
 
Hahahaaaaa yangu haipo hapo...Nilikuwa napiga chabo upande huu kumbe naye anapiga chabo upande ule, ghafla macho yetu yakakutana, bila kujua kuwa wote tukakimbilia Sehemu moja kwenye uchochoro mmoja hv....!
 
hahahaaa.. Umetisha
 
Teh teh teh teh...hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…