donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
bila shaka wewe ni Mujibu wa sheria OP 'Muungano'Jaman mmenikumbusha vya jkt Mimi nlienda ruvu uwiiiiiii ni shida nmemiss Yale maisha kwa kweli mwendo wa kujila na jeshi amna shubwela hata sekunde mabio ya kutoshaaa daaa acha kabisaa
Dah nakumbuka 841kj pale mafinga .... Jkt ya zaman ilikuwa na mafunzo mazur sana... Sitawasahau makamanda hawa. Lt nkya, Lt liundi, Lt alloys, na wiliam Sagala... Mpaka leo nina alama mgongon na mkono wa kushoto... Nilichimba handak kwa sahan na panga
Hakuna hekaheka kama zamani. Siku hizi hakuna kutafuta kuni wala kupika kuna mzabuni wa chakul pia muda ni mfupi sana,
bila shaka wewe ni Mujibu wa sheria OP 'Muungano'
Mkuu mm nina diploma ya uharibu nikabahatika kuingia jeshn je,naanza na cheo gan? Na n baada ya mafunzo au utakuwa unatambulka direct?
bila shaka wewe ni Mujibu wa sheria OP 'Muungano'
I humbly thanks,for your lesson,i had no idea about jkt,but right now i'm aware of it ,but my question is,if am an advocate, and it happens i get a chance to join jkt,what privileges will i be entitled with!?
Nakushauri ww usiende jeshini kwa jinsi nilivyokusoma maswali unayouliza.
Uanajeshi haumo damuni mwako bali ni ajira ipo kwa damu yako morani.
Ukipiga mafunzo ya jkt afu uambiwe ulitumikie jeshi kwa miaka miwili free bila ya malipo najua utarusha ngumi navyokuona.
Na hapa kaeleza usiende kisa hauna ajira au kitaa kimekuwa kigumu.
Ok,ahsante sana,vip position ya mtu aliesoma sheria kwa ngazi ya degree,akimaliza jkt,possibility ya kwenda jwtz inakuwepo au la?
Haaa mi niliingilia mafinga! yaani kila nikiangalia magoti yangu yana michubuko! kubwa zaidi nakumbuka siku niliyotoka na afande Kiangazi kwenda kunywa ulanzi tukamix na viroba vya Malawi double panch aaah! nlizima mbayaa nikashindwa kuamka mwisho wa siku nikajisalimisha kwa mkufunzi ili paranja liniepuke sitaslsahauuuu! kubwa zaid ni mwendo wa kadet zile KILOMETER 180 MONDULI aaaah!