Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

821 KJ
Mtalaamu wa kubasti chai na wali jioni bila kusahau ukoko(kubasti yani kuchukua chakula zaidi ya mara moja kwa wizi)๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Siku afande Khamis (mpiga bigura) aliponikamata nabasti wali, aisee nilijuta๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilimiliki msoto mkubwa sanaa, wenzangu ck hiyo walikula utawala mm nilikuwa ni action na mapigo ya filimbi๐Ÿ˜†,
Nilikuwa Combania D, denja koi๐Ÿ˜
Uck muda wa chenja akaniita eti nitongoze mti hadi ukubali, kama masihara hivi ila mkali nikaanza kushusha swaga kwa mti huku nikuupapasa papasa aisee, mademu wanacheka mm sina habari ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Afande Khamis fresh tu huko uliko, alafu afande alikuwa mkorofi sana kwa maafande wenzake, haziwezi pita wiki mbili hajabebeshwa magodoro, mablanketi, mashuka, majembe, fagio, ndoo ya maji na ma-MP wanamfunza adabu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„,
Ukweli jeshi namisi sanaaaaaa.
Ambaaa siyamba eeee,
ambaaa siyamba ee,
Mimi hapa eee, naitwa okwaaa eee,
Hahahaaaa jkt kuna raha yake aiseee.
 
Op Kikwete?
 
Op gan hiyo mkuu
 
Huyo RSM ndiyo yule mwenye pengo??
Kulikuwa pia na Mjerumani
 
Huyo huyo bila kumsahau afande Mkumbo a.k.a babu kifimbo cheza msimamizi wa kwata kikosini alikuwa anapiga balaa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Maisha yangu niliangushia sana baada ya kuchaguliwa kuwa karani ila nilipoenda kwata ndiyo niliona mziki, nilijua kwata ni kitu rahisi... Stiki za kufikia tu.

Ulikuwa unamfahamu Msanzagi??
Matonya??
Mkayu??
 
Nakumbuka Ruvu jkt 2014 kuna MP mmoja hivi akiitwa afande ndomba.yeye alikua anatembea na kitabu cha sheria za jeshi muda wote.sasa akikukamata kurutu huwezi kuchomoka...sifa kubwa ya MP ndomba pale ruvu ni mbio zake.akikukimbiza hauchomoki yan..sasa Siku moja amemkurupua kuruta kwenye mashamba ya alizeti ...afande ndomba anasema hajawahi ona kuruta ana mbio kiasi kile yan alichokua anaona afande ni alizeti zinalala tu kushoto na kulia lakini mtu haonekan kwajins alivyokua anakimbia yule kuruta wa mujibu
 
Hahaha hatari mkuu.
 
Mkuu .......afande kisiki mlimkuta
 
Mkuu .......afande kisiki mlimkuta
No simkumbuki mkuu, may be kombaniya zingine, but pale denja koi hakuwepo, hata C koi hakuwepo. Huenda alikuwepo ila kumjua ndo kimbembe๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Alikuwepo afande fulani hivi alikuwa anajiita komando, alikuwa anapenda kusema "makamanda kheeeรจeeรจee" nyinyi mnaitikia "kheeeeee"๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ