Kipindi hicho nchi ilikuwa inapitia kwenye kipindi cha mabadiliko ya kiuchumi kwa Serikali kujiondoa kwenye kuendesha baadhi ya huduma za jamii ikiwemo elimu.(Masharti ya wafadhili)Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha. Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi wote tulisambaratishwa kwa kuhamishwa na shule kubadilishwa kua High School. Je, unakumbuka nini kuhusu Migomo shule za Sekondari?
Chuo kikuu wapo busy wanabetVP CHUO KIKUU NAO WADOGO? UNASIKIA MIGOMO? tatizo ni simba na yanga.masuala ya siasa hawana haja nazo na wala hawaelewi.
Mwana kumbe wwe ni Sambukile! ?Nami nilisoma Tambaza,kwenye kuhamishwa nikapelekwa Songea Boys,siku nimeripoti Songea Boys nilishangaa maisha ya kula mihogo,viazi na Ugali maharage[emoji24],lakini baada ya muda nilizoea na kumaliza salama Kidato cha Nne 1997
Nimesikitika mmoja ya washkaji zangu wa karibu tangu Tambaza mpaka Songea Boys amehukumiwa kifungo cha maisha jela wiki mbili zilizopita kwa kosa la Madawa ya Kulevya akiwa na Boss wake Chonji
Ninakumbuka tuligoma kula wali na viazi mviringo eti tuwe tunakula ugali, tulipikiwa siku moja tu na hatukupikiwa tena. Mgomo ulianzishwa na mwanafunzi wa kisukuma.Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha.
Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi wote tulisambaratishwa kwa kuhamishwa na shule kubadilishwa kua High School. Je, unakumbuka nini kuhusu Migomo shule za Sekondari?
Hivi tulikua watu wazima sana kipindi hiko mpaka kujielewa au ndio bas ilikua inatokea tuHivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha.
Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi wote tulisambaratishwa kwa kuhamishwa na shule kubadilishwa kua High School. Je, unakumbuka nini kuhusu Migomo shule za Sekondari?
Hamna ukubwa wowote tuliokua nao miaka ndio hii hii 17 - 21 tupo O'level, sema kipindi hiko tulikua tunafundishwa vizuri haswa. Sio mitoto ya sasa linafika hadi 23 halijui kitu jinga jinga tu.Shule za kata ni majanga.Hivi tulikua watu wazima sana kipindi hiko mpaka kujielewa au ndio bas ilikua inatokea tu
Ilikuwa kawaida sana kukinukisha saivi Nina miaka hata 13 sijawahi sikia hata mgomo kidogo tu. DaaahπππNi takriban miaka 30 imepita siwezi kuusahau yale matukio ya kutisha.
Baada ya majadiliano ya kutaka wanafunzi wasitishe mgomo kushindikana usiku saa mbili kengele ikapigwa, maelekezo yalikuwa mafupi tu form 1 na 2 kaleteni mawe tunaanzia nyumban kwa headmaster. Uharibifu mkubwa ulifanyika na watu waliumia wakiwemo wanakijiji, askari na wanafunzi