Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kweli kabisa mkuu nakumbuka sisi kipindi tunakimukisha ndo nilikuwa na miaka20 Olevel form3 mwanzilishi wa mgomo alikuwa jamaa yetu mmoja alifahamika kama idd Amin huyu Kila kitu akisema kinatekelezwa form one wakizingua tu anasema kesho mnafagia shule yote form one pekee hakuna atakae bishi.
Siku ya mgomo tulikula sna kuku na simu hazikuwepo nyingi kivilee Hadi police waje walimu wameimba kwaya sana na kuruka majoka ya Kila aina.
Nakumbuka mlinzi alienda kuponea bugando.tangu hapo akastaafu kazi rasimi

Hamna ukubwa wowote tuliokua nao miaka ndio hii hii 17 - 21 tupo O'level, sema kipindi hiko tulikua tunafundishwa vizuri haswa. Sio mitoto ya sasa linafika hadi 23 halijui kitu jinga jinga tu.Shule za kata ni majanga.